Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,410
- 36,553
Huyo atakuwa mkolomije
Huu wimbo ninaupenda sana tena kwa siku nyingi lakini sikuwahi kujua maneno yake wala kuulewa maana yakeHuyo ni bibi wa kisukuma. Karne hii wasukuma wameshakaa hatamu hawataki kuachwa nyuma tena hehehehehehehe.
Wasukuma na wanyamwezi ni wale wale, wasukuma hoyeeeeeeee 😂.
Ngoja niimbe kidoogo;
Wansolilaa mwana lwiisee wansolilaa somileee
Wansolilaa mwana lwiisee wansolilaa somileee
....... ukitaka kuteka watu chaaah
Ukitaka kutongoza chaaah
Ukitaka kupiga kinanda chaaah
Chagulaga sokola chaaah.
Tembeleye kulambaa tembele kana khaanee
Basi haya kulambaa tembele kana khaanee
Tembeleye kulambaa tembele kana khaanee
Yaayuuiii na ziko wana nalughendoo...
Yaayuuiii. .......
Wabheja sana kibinda nkoi 😊 😂 😂.
K' Matata.
Huu wimbo ninaupenda sana tena kwa siku nyingi lakini sikuwahi kujua maneno yake wala kuulewa maana yake
Ooh hayo niliyoandika sio maana yake ila nimeandika inavyotamkwa tuu.
Sikiliza huo hapo chini...
Maana yake ngoja nimuombe Sikonge atusaidie.
Unaitwa ndembelee na sio remix niliyo weka mimi ya tembelee 😅
HHuo huo huwa naupenda bila hata kujua wanaimba nini