Mtaalamu anahitajika kufanya vBulletin customization

Mwanafalsafa

Platinum Member
Jun 24, 2007
662
851
Hello,

Niko na vBulletin forum nahitaji kuicustomize. Nimevutiwa na customization ya hii vBulletin ya JamboForums. Kama unaweza kufanya kitu kama hiki niandikie.

Wasalaam
 
MwanaFA,
version gani hiyo?
na je inasimama yenyewe kwenye website yake au ni subdomain?

Kitu kingine, labda uandike mwaliko wako huo kwa Kiingereza pia ili kuongeza response kutoka kwa wengine mbalimbali wasiojua Kiswahili, Maana jukwaa letu la ICT hapa JF lina member wengi ambao si waongeaji wa lugha yetu ya Taifa. Ni hayo tu.


SteveD.
 
check out this board
[/url]http://www.hiphophangout.tv/vb[/url]
let me know if that is good enough for you, then I will hook you up with the designer
 
Back
Top Bottom