Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,272
- 31,395
Urudi kwenye hii post yako baada ya miaka 5..... utamuelewa huyo mtaalamu....Huyu mtaalani ni wa kiwanda cha upumbavu..
Nawewe mleta hoja ni pumbavu..jikague
Urudi kwenye hii post yako baada ya miaka 5..... utamuelewa huyo mtaalamu....Huyu mtaalani ni wa kiwanda cha upumbavu..
Nawewe mleta hoja ni pumbavu..jikague
Mnapowekwa kwenye mgao kisa Mtera maji yana kina kidogo, au kuna tope huwa mnaelewa nini?...... Msishambulie tu kwa kudhani mpo sahihi.....unaongelea River Rejuvenation ww unaejiita mtaalam,mbona hiyo ni constant sana duniani kote,kubadilika kwa kina cha maji ya mto husababishwa na sababu nyingi,pia kubadilika huku kinaweza kukawa kwa msimu,mwaka,au hata miaka kadhaa,pia kubadilika huku sio lazma iwe kupungua tu kwa kina cha maji,kina kinaweza kikaongezeka pia,sasa kwann hujawaza kuhusu sababu zilizopelekea kupungua zikibadilika na kuwa sabab zitakazoongeza kina cha maji ktk bonde la mto Ruaha????toa sababu nene ww mtaalam,kama haya ni mawazo ya kitaalam bas kupitia ww jamii tuamini kuwa tuna wataalam wa hovyo sana
Huu mradi ametolea ushauri kama mtaalamu sawa, atwambie umeme wa gas alishaulije kipindi kile unashupaliwa na sospeter mhongo kuwa ni mwarobaini wa umeme nchini mpaka Leo haieleweki
Nani wa kumpelekea anayeshaurika? Wa chini yake wote wakipelekea kilicho tofauti na atakacho MKUU, wanawatimua waletaji kabla hajijafika juu....Asante Mtaalamu kwa Ushauri,sasa bwana mtaalamu kwanini ushauri huu haukuutoa mapema wakati project tu imeanzishwa?,why now?
kwa sasa tunaomba uwaachie wataalam wenzio waendelee na kazi kwani tulipofika ni pazuri ngoja wamalize halafu tutaruhusu maoni baadae😁
Cjui nn nn wenye matunda ndo unapigwa mawe tuendelee aisee hata meme naunga mkono hoja.Huu mradi unapigwa vita sana, Utakuwa na manufaa, tuendelee nao.
Huu mradi ulibuniwa kabla ya MagufuliKwenye wengi pia kuna mengi. Kuwalazimisha wote waone kitu kimoja sawasawa na anachokiona yule, ni ndoto.
Watu zaidi ya m50 wafikiri na wakubali mawazo ya mtu mmoja tu, ni ndoto pia. Ndo maana wanatumia nguvu kubwa sana kujaribu kila mmoja wetu aamini kwamba hii ni 6 wakati upande wapili wao wanaona 9.
Kosa kubwa sana la kikatiba mumrundikia madaraka mengi hivyo na kinga yote hiyo mtu mmoja tu kati ya zaidi ya watu m5 na Nchi kwa ujumla.
Tatizo sio kukamilika bt environment assessment imefanyika kujua uhakika wa maji ni miaka mingapi maana unatumia mahela mengi project ina survive 5 yearMtaangaika sana Awamu hii. Ila kila kitu lazima kifanikiwe. Iwe jua iwe mvua lazima kila kitu kifanikiwa hakuna litakalo shindikana.
Hata kina cha bahari pia kinapungua,ziwa victoria linapungua" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Mtaangaika sana Awamu hii. Ila kila kitu lazima kifanikiwe. Iwe jua iwe mvua lazima kila kitu kifanikiwa hakuna litakalo shindikana.
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Atakuwa spika huyo!!!Basi na wewe unaona umetoa bonge la point!
Cha ajabu unapinga huu mradi kisha unakomalia ujenzi wa bandari ya bagamoyo bila kujali masharti yake
Gas ya mtwara vp imeisha ardhini ????Mwambie huyo mtaalam ampelekee taarifa kamanda msaliti ili akatushitaki ubeberuni apate pesa ya kujikimu. Tumechoshwa na ubabaishaji wenu na porojo za kila siku.
Kuna watanzania wanajiipandisha hadhi ya kuongelea mambo ya level ya nchi wakiwa wamechuchumaa nyuma ya key board japo hata ya level ya familia hawayaweziDu huyu nae ni Mtanzania!?