Mtaalam wa Saikolojia: Ukikutana na mambo haya Mawili kwa Mtu / Binadamu jua tayari ' Utahaira ' umeshamuanza

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,052
107,537
1. Mtu anayenunua Vyombo vya Matumizi yake Nyumbani halafu havitumii kwa muda mrefu au anavitoa tu pale anapotembelewa na Mgeni wake kisha anavirudisha huko.

2. Mtu ambaye akinunua Kitu chochote hasa hasa Gari jipya kabisa halafu hataki Kutoa yale ' Malailoni ' yake na anaona raha kuwa nayo hivyo hivyo hadi yazeeke / yachakae yenyewe.

Si vibaya sasa ' Matahaira ' tukaanza Kutambuana baada ya huu Ukweli wa Mtaalam wa Saikolojia na Afya ya Akili.

Nawasilisha.
 
Kiukweli wanamume wengi Ni WAGUMBA na MAHAN'TH ukitaka kuhakikisha hili nenda kwenye masupi ya pweza wamo!,
Juice ya tende wao,
Kula mbegu za mlonge wao!,
Kupaka vitunguu swaumu bombani wao!
 
Nimesoma hizi comment naendelea kuamini kua kati ya watanzania 10, sita kati yao ni vichaa
 
1. Mtu anayenunua Vyombo vya Matumizi yake Nyumbani halafu havitumii kwa muda mrefu au anavitoa tu pale anapotembelewa na Mgeni wake kisha anavirudisha huko.

2. Mtu ambaye akinunua Kitu chochote hasa hasa Gari jipya kabisa halafu hataki Kutoa yale ' Malailoni ' yake na anaona raha kuwa nayo hivyo hivyo hadi yazeeke / yachakae yenyewe.

Si vibaya sasa ' Matahaira ' tukaanza Kutambuana baada ya huu Ukweli wa Mtaalam wa Saikolojia na Afya ya Akili.

Nawasilisha.
Ukiona mtu anachambua utahira nae ni tahira pia
 
Nimesoma hizi comment naendelea kuamini kua kati ya watanzania 10, sita kati yao ni vichaa
teh teh teh....naunga mkono hoja.....niliwahi kuishi na mwanamke mmoja jamii hii....yaani mnaweza mkaanza mada vizuri tu....maswali mawili matatu....mada ilishabadilika kabisa....na hoja ni nyingine ....na ukizubaa we mwenyewe unajikuta ushapotea....basi nikawa najua ni tatizo lake peke yake....but now i know ni tatizo la jamii kubwa tu ....jf, insta, fb, youtube....kote shida hii ipo..
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom