Mtaalam wa Kutengeneza Website | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtaalam wa Kutengeneza Website

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mhafidhina, Dec 13, 2009.

 1. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wanajamii,

  Jamani natafuta mtu ambaye ni mtaalam wa kutengenza websites ikiwa ni pamoja na kuhakikisha inafanyiwa domain registration, inaweza kupatikana kwenye google search na pia nitaweza kutegeneza emails kutumia jina la hio website.

  Muhimu ni kuweza kutengenza kwa kuweka graphics nzuri na kui-update mara kwa mara website hiyo.

  Tafadhali kama una utaalam na uzoefu wa kutengenza website kwa kiwango kizuri naomba UNI-PM then tuwasilaiane ili niweze kukupa kazi hii.
   
Loading...