Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Wana Body, anahitajika mtaalam, mwenye uzoefu na mwenye uwezo wa kuongea na MARUHANI, atalipwa kwa kazi hii ya masaa machache au lisaa tu. swala hili ni nyeti sana kuna mazungumzo ya kina na maswali na majibu yatahitaji kujibiwa na kuulizwa.
Anaye mfahamu mtu huyo tafadhali msaada ni kwa nia njema sana maana kuna mambo yanahitaji ufafanuzi.
Karibuni mwenye uwezo mkubwa na caliber hiyo haya ni mazungumzo ya ana kwa ana.
Anaye mfahamu mtu huyo tafadhali msaada ni kwa nia njema sana maana kuna mambo yanahitaji ufafanuzi.
Karibuni mwenye uwezo mkubwa na caliber hiyo haya ni mazungumzo ya ana kwa ana.