Mtaalam, mwenye uwezo na mzoefu wa kuongea na maruhani anahitajika

Wana Body, anahitajika mtaalam, mwenye uzoefu na mwenye uwezo wa kuongea na MARUHANI, atalipwa kwa kazi hii ya masaa machache au lisaa tu. swala hili ni nyeti sana kuna mazungumzo ya kina na maswali na majibu yatahitaji kujibiwa na kuulizwa...
Unaelewa maana ya caliber au umejiandikia tu.Caliber ni kipimo cha ndani cha upana wa bomba la bunduki ambao unashabihiana na kipimo cha risasi
 
Wana Body, anahitajika mtaalam, mwenye uzoefu na mwenye uwezo wa kuongea na MARUHANI, atalipwa kwa kazi hii ya masaa machache au lisaa tu. swala hili ni nyeti sana kuna mazungumzo ya kina na maswali na majibu yatahitaji kujibiwa na kuulizwa.
Anaye mfahamu mtu huyo tafadhali msaada ni kwa nia njema sana maana kuna mambo yanahitaji ufafanuzi.

Karibuni mwenye uwezo mkubwa na caliber hiyo haya ni mazungumzo ya ana kwa ana
Mshana Jr mcheki mwamba hapo
 
Cheki na DK gwajima yule anaongea mpka na maruhani ya bombay
 
Wana Body, anahitajika mtaalam, mwenye uzoefu na mwenye uwezo wa kuongea na MARUHANI, atalipwa kwa kazi hii ya masaa machache au lisaa tu. swala hili ni nyeti sana kuna mazungumzo ya kina na maswali na majibu yatahitaji kujibiwa na kuulizwa...

Brother kwa nini ume specify maruhani? Nauliza kwakuwa kuna majini na mapepo pia na vyote ni viumbe roho na tabia zao zinafanana
 
Back
Top Bottom