The EMP Bomb
Senior Member
- Oct 27, 2021
- 130
- 131
Naunga mkono hoja, lakini naona shida kwenye uanzaji na utekelezaji, kwasababu tuna walimu wengi "uwezo mdogo" Yan unakuta mwanafunzi yupo nondo kumzidi hata mwalimu wake(seriously, shahidi mwenyewe) .Sasa tukisema tuanzishe mtaala mpya ,watekelezaji watakuwa walimu wa aina gan?.maana hakuna mazingira ya kumfanya "kipanga" apende ualimu (Hela hakuna, changamoto kama zote)