Mtaa wa Ufipa yalipo makao makuu ya CHADEMA wakumbwa na mafuriko, wakazi waililia Serikali

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,429
Mtaa maarufu wa Ufipa uliopo wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam umekumbwa na mafuriko kufuatia mvua iliyonyesha leo.

Wakazi wa mtaa huo wameiomba serikali kuwaondolea kero hiyo inayosababishwa na ujenzi wa barabara.

Ufipa st ndipo yalipo makao makuu ya chama kikuu cha upinzani (Chadema)

Mwenyekiti wa serikali ya mtaa mzee Abdulasul amesema wanaishughulikia kero hiyo na wameanzia mtaa wa Togo kisha wataingia hapo Ufipa st.

Source: Eatv habari!

 
SO WHAT?
1EC4B635-A28A-41F6-9BB4-CD54A1323221.jpeg
 
Mbona unawashwa kiasi huwezi fanyia evaluation mada zako kabla ya kuzipandisha hewani?
 
Back
Top Bottom