Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Jambo wana JF... baada ya kumaliza karibu majina yote ya watu mashuhuri kwa Mitaa na Barabara hapa BONGO nawaomba tufunguke kuhusu Mtaa/Barabara tumpatie M.K.W.E.R.E? Ndg.B.Mkapa tume-reserve Morogoro road... Hivyo tusahau hiyo...
Mimi napendekeza Barabara ya ipitayo Tandale Uzuri...kutokea Sinza Kijiweni hadi Magomeni kanisani... sifa ya kwanza ni ndefu na ni pekee ambayo haina jina rasmi...toa maoni yako bila jazba...
Mimi napendekeza Barabara ya ipitayo Tandale Uzuri...kutokea Sinza Kijiweni hadi Magomeni kanisani... sifa ya kwanza ni ndefu na ni pekee ambayo haina jina rasmi...toa maoni yako bila jazba...