Mt. Meru in Tanzania: the final resting place of Noah's ark?

kuna Meru ya Arusha na Meru ya himalaya. yote ni milima.
meru-routeline.jpg
Meru.jpg
 
Stori za kufikirika tu hizi....juzi tu hapa kabla ya ukoloni bara la Africa kulikua hakuna mtu anaejua kusoma wala kuandika..

Watu walikua hawajui chochote,hawavai nguo,hawana moto,etc...na hii ni juzi tu 1700...

Hebu hizi alinacha wawe wanajipigia hizo stori wenyewe...its pathetic
wewe hujui chuo kikuu cha kwanza kilianzishwa Africa wazungu walikuja kutuvamia na kuteketeza historia yetu ila ss tulikua tumefika mbali sanaaa kabla ya wazungu mfano mdogo tu Misri, je unamjua Mansa Mussa na wengineo? umeshasikia michoro ya kwenye mapango?...AMKA na uanze fwatilia historia yetu waafrika iliyo potezewa na wazungu ili waeza kutafanya wanavo tufanya sasahvi maana asiejua alipotoka hata anako kwenda hawezi jua..ndo mana waafrika tunaambiwa tuna laaana
 
Back
Top Bottom