Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,672
- 40,549
Muda si mrefu ujao Bunge letu litajadili mswada wa mortgage (neno la Kiswahili au kiarabu sina) ili kurahisisha watu kupata mikopo ya kununua/kujenga nyumba zao wenyewe. Binafsi sijauona lakini ningetamani sana kuuona kwani nina experience ya kufanya kazi kwa muda katika Mortgage industry na hilo ni baadhi ya maeneo ambayo naweza kuzungumza kwa mamlaka kweli.
Tunaomba mwenye mswada huu watupitishie ili tuutolee maoni, hofu yangu ni kuwa endapo utapitishwa waweza kuwa umetanguliza mkokoteni mbele, halafu punda nyuma! Nani amvute nani?
Tunaomba mwenye mswada huu watupitishie ili tuutolee maoni, hofu yangu ni kuwa endapo utapitishwa waweza kuwa umetanguliza mkokoteni mbele, halafu punda nyuma! Nani amvute nani?