maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,774
- 2,297
Mwili wa marehemu kufanyiwa ama kutokufanyiwa uchunguzi, nalo ni swala la imani kiongozi?
Tafadhali tofautisha imani, ambayo ni hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana, na swala halisi kama la kupima ama kutokupima kama mtu kafa ama yuko hai. Hapo kweli kuna imani?
Please be realistic!.
umenisaidia mkuu huyu jamaa haelewi alichosema