masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,171
Kama ilivyo hapa kwetu kwa "mikataba ya siri", Msumbiji nayo imeingia skandali ya mkopo wa dola bilioni 2, na kati ya hizo dola milioni 500 zimeliwa na wajanja, huku Msumbiji ikitakiwa kulipa deni hilo.
Nimelileta sakata hili hapa kwetu mtandaoni baada ya kuona kushabihiana kwa hii "mikataba ya siri" katika nchi za kiafrika.
Sakata la msumbiji lilianza baada ya mzungu mmoja mwenye uhusiano na Lebanon kuchonga mkopo toka Swiss Bank na yeye mwenyewe kufaidika kwa kusupply boti za uvuvi ambazo hadi leo hazifanyi kazi.
Thamani ya boti hizo ni dola milioni 500.
Source:
Mozambique: Debt Crisis & the Panama Papers