Msumbiji hawataki kusaidiwa na SADC au nchi za afrika ktk ugaidi lkn hapo hapo wanaamini mabeberu kijeshi?

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,247
1,634
Aliyeturoga watu weusi cjui alikaaa sehemu gani, hasa waafrika!!?

Rais wa Msumbiji na Serikali yake hawataki SADC iwaasaidie kupambana na ISIS wa Msumbiji kundi la kigaidi

Sababu:
Waanadai hawataki kuingiliwa uhuru wao

LAKINI HAPO HAPO
-Ameruhusu nchi za Magharibi ziisaidie nchi hiyo kijeshi

Yaan hataki waafrika wenzie wamsaidie au waingilie kat ila yuko radhi uhuru wake uingiliwe na France,USA, or UK

Hadi sasa mauaji ya kikatili yamekua yakiongezeka siku hadi siku na Serikal imekuwa ikishindwa kulishinda kundi hilo.

WAAFRIKA NANI KATUROGA?
 
Aliyeturoga watu weusi cjui alikaaa sehemu gan ?? Hasa waafrica!!

Rais wa msumbiji na serikali yake hawataki SADC Iwaasaidie kupambana na ISIS wa msumbiji kundi la kigaidi

Sababu:
Waanadai hawataki kuingiliwa uhuru wao

LAKINI HAPO HAPO
-Ameruhusu nchi za magharibi ziisaidie nchi hyo kijeshi

Yaan hatak waafrica wenzie wamsaidie au waingilie kat ila yuko radhi uhuru wake uingiliwe na France,USA, or UK

HAadi sasa mauaji ya kikatili yamekua yakiongezeka siku had siku,na serikal imekua ikishindwa kulshinda kundi hilo!!

WAAFRICA NAN KATUROGA??
Tatizo lote ni Rasilimali na sababu ni GESI... waafrika hawawezi kununua hiyo Gas... wazungu ndiyo watakaonunua na kulinda masilahi yao na rasilimali hiyo.!
 
Aliyeturoga watu weusi cjui alikaaa sehemu gani, hasa waafrika!!?

Rais wa Msumbiji na Serikali yake hawataki SADC iwaasaidie kupambana na ISIS wa Msumbiji kundi la kigaidi

Sababu:
Waanadai hawataki kuingiliwa uhuru wao

LAKINI HAPO HAPO
-Ameruhusu nchi za Magharibi ziisaidie nchi hiyo kijeshi

Yaan hataki waafrika wenzie wamsaidie au waingilie kat ila yuko radhi uhuru wake uingiliwe na France,USA, or UK

Hadi sasa mauaji ya kikatili yamekua yakiongezeka siku hadi siku na Serikal imekuwa ikishindwa kulishinda kundi hilo.

WAAFRIKA NANI KATUROGA?

Sisi waafrika tuna shida sana kwa ukanda huu wa kusini mwa afrika sisi tanzania tuna jeshi zuri sana kama jirani angetakiwa atutumie vizuri sana ..! Ila yawezekana kuna watu wanainterest binafsi kwenye hili kwa sabab haiwezekan ukakataa msaada from your close neighbors..!
 
KUNA UMUHIMU WA TANZANIA KUANZA KUCHIMBA HIYO GESI UPANDE WETU AMA SIVYO TUKICHELEWA TUTAKUTA IMEFYONZWA YOTE HUKO ARIDHINI!!! TUJIFUNZE YA MERERANI KUWA MALI INAWEZA KUTOKA CHINI KWA CHINI!!

Sahihi kabisa leo wanazingua msumbiji next time watakuja kutuzingua na sisi
 
Aliyeturoga watu weusi cjui alikaaa sehemu gani, hasa waafrika!!?

Rais wa Msumbiji na Serikali yake hawataki SADC iwaasaidie kupambana na ISIS wa Msumbiji kundi la kigaidi

Sababu:
Waanadai hawataki kuingiliwa uhuru wao

LAKINI HAPO HAPO
-Ameruhusu nchi za Magharibi ziisaidie nchi hiyo kijeshi

Yaan hataki waafrika wenzie wamsaidie au waingilie kat ila yuko radhi uhuru wake uingiliwe na France,USA, or UK

Hadi sasa mauaji ya kikatili yamekua yakiongezeka siku hadi siku na Serikal imekuwa ikishindwa kulishinda kundi hilo.

WAAFRIKA NANI KATUROGA?

Viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Kusini mwa Afrika, SADC, wamesema watakabiliana na Wapiganaji wa siasa kali walioushambulia Mji muhimu wa Kaskazini mwa Msumbiji mwezi uliopita, kwa kutumia nguvu sawasawa na kitisho cha Kundi hilo.

Uamuzi huo umetokana na Mkutano wa Viongozi wa Nchi sita za Zimbabwe, Afrika Kusini, Malawi, Msumbiji, Botswana na Tanzania waliofanya kikao cha dharura Maputo,Msumbiji jana, wiki mbili baada ya shambulio hilo katika mji wa Palma, ambalo liliuwa makumi ya Watu na kulazimisha maelfu ya wengine kuyakimbia makaazi yao, Rais wa Zanzibar Dr.Mwinyi na Waziri Mulamula walimwakilisha Rais Samia kwenye Mkutano huo.

Tangazo lililochapishwa baada ya Mkutano huo, lilisema shambulizi hili lililotajwa kuwa la kihalifu haliwezi kuachwa bila kujibiwa na ukanda wa SADC.

Tangazo hilo limeongeza kuwa Timu ya Watalamu itapelekwa haraka Maputo, ingawa haikuelezea muundo wa Timu hiyo wala majukumu yake.
( via @Dw_kiswahili)
 
Aliyeturoga watu weusi cjui alikaaa sehemu gani, hasa waafrika!!?

Rais wa Msumbiji na Serikali yake hawataki SADC iwaasaidie kupambana na ISIS wa Msumbiji kundi la kigaidi

Sababu:
Waanadai hawataki kuingiliwa uhuru wao

LAKINI HAPO HAPO
-Ameruhusu nchi za Magharibi ziisaidie nchi hiyo kijeshi

Yaan hataki waafrika wenzie wamsaidie au waingilie kat ila yuko radhi uhuru wake uingiliwe na France,USA, or UK

Hadi sasa mauaji ya kikatili yamekua yakiongezeka siku hadi siku na Serikal imekuwa ikishindwa kulishinda kundi hilo.

WAAFRIKA NANI KATUROGA?
Mambo mengine ukiangalia kwa jicho la kawaida utagundua yule mzee hayupo sawa mtu anaitwa Nyusi atakuwaje timamu?
 
Back
Top Bottom