Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,697
- 9,048
Huyu mpuuzi Class 7 analindwa na kiti cha Spika Ndugai ndo maana anakuwa jeuri......!!Msukuma aambiwe Nape na Makamba si saizi yake.
Huyu mpuuzi Class 7 analindwa na kiti cha Spika Ndugai ndo maana anakuwa jeuri......!!Msukuma aambiwe Nape na Makamba si saizi yake.
Ndiyo ujue kwamba shule ni muhimu! Msukuma anapodai viapo vinaendelea hajui anachoongea. Yeye aliapa mbele ya Spika Ndugai....Lakini Mawaziri, Manaibu Waziri, Makatibu Wakuu, Manaibu K/ Wakuu na Wakurugenzi waliapa na wataendelea kuapa mbele za Rais!!!!Waliapa kwa Jiwe au Bungeni?
Kwahiyo kwakuwa mmeapa kutotoa Siri na mmepita kwenye uchaguzi, hata yakitendeka maovu msiseme siyo?Kimeumana
Nyie ndo huwa mkiingia anga za watu mnakula za kutosha, kumtii Mungu ni kwny bible ila kwny katiba ipo kumtii mkuu wako. Kama unajua kwmb hakuna mkubwa zaid ya Mungu bs achana na kaz zinazokulazimisha kula kiapo.Bunge linaweza kumuondoa waziri mkuu na rais . Swala la utii labda kwa mungu sio kwa binadamu.
Wabunge wa CCM ni wapuuzi sana na hawajielewi!Kwahiyo kwakuwa mmeapa kutotoa Siri na mmepita kwenye uchaguzi, hata yakitendeka maovu msiseme siyo?
Kuwa ccm ni kubeba
Network searching........!!Huyu akili yake sometime yes sometime no
Umeishia darasa la ngapi?Sasa CHADEMA inaingiaje hapa, we msukuma?
La 7 tu Msukuma! Lakini hii 👇👇 comment yako itasumbua hata profesa Muhongo, bwana akili kubwaUmeishia darasa la ngapi?
Sometimes soma Kwanza comments kabla ya kujibu...kumbe hujui ni nini nimeandika
Hili bunge limejaza mataahira haswa, hivi kuna kiapo kinazuia watu kukosoa pale wanapoona kuna mambo hayaendi sawa? Bunge mfu lenye sheria bubu na viongozi vipofu.
Msukuma aambiwe Nape na Makamba si saizi yake.
Bunge linaweza kumuondoa waziri mkuu na rais . Swala la utii labda kwa mungu sio kwa binadamu.
Viapo hivi vya kutomkosoa dikteta walikula lini na wapi? Na mwenye hicho kiapo atuwekee hapa.
Hesabu zinazotumika na kina jk ni kali sana, hawa lasaba b hawatakuja kuamini macho yao! hao wanao wasema muda siyo mrefu watakuja kuwa mabosi wao. Hapo wametulizwa tu ila game itavyo change wasije kulialia.
Daah 🤔 kazi ipo!!Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii.
Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya hayati Magufuli na wasaidizi wake mama Samia na mh Majaliwa Jah people amesisitiza waliokosa teuzi wawe wavumilivu kwani wabunge ni wengi vyeo ni vichache.
Hayo ni majibu murua kwa wabunge waliopitishwa bila kupingwa January Makamba na Nape Nnauye.
Ramadhan Kareem!
Hilo la uenyekiti wa ccm linahusu katiba ya nchi au ya chama? Pia, utii huo ambao jamaa anatakiwa kujifunza, ni kwa rais aliyepo au mwendazake?kajifunze maana ya utii,sio unashandadia tu.
ndio maana wenzako wanakomaa na katiba mpya ya jamhuri,katiba hii imeruhusu rais awe mwenyekiti wa ccm taifa,wabunge ambao ni wa ccm,wanawajibika kwake upande wa chama.
unaanzia wapi kukosoa!!!ndio maana nyimbo za kuabudu zimehamia kwa mama kwa sasa.
Kushabikia CCM inabidi uwe na PHD ya uanfiki!Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii.
Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya hayati Magufuli na wasaidizi wake mama Samia na mh Majaliwa Jah people amesisitiza waliokosa teuzi wawe wavumilivu kwani wabunge ni wengi vyeo ni vichache.
Hayo ni majibu murua kwa wabunge waliopitishwa bila kupingwa January Makamba na Nape Nnauye.
Ramadhan Kareem!
viapo vyao nii kwa mungu au mwanadamu,,vitabu walivyoshika ni vya wanadaamuMbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii.
Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya hayati Magufuli na wasaidizi wake mama Samia na mh Majaliwa Jah people amesisitiza waliokosa teuzi wawe wavumilivu kwani wabunge ni wengi vyeo ni vichache.
Hayo ni majibu murua kwa wabunge waliopitishwa bila kupingwa January Makamba na Nape Nnauye.
Ramadhan Kareem!
Una uhakika?hao ni size maji ya ugoko tu.usitishwe na miwani dogo.