Mstahiki meya wa manispaa ya iringa amani mwamwindi hatuoni kasi yako kiuongozi.!

yohana charles

Senior Member
Mar 21, 2013
134
10
Inafahamika kwamba MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA IRINGA MZEE WETU AMANI MWAMWINDI ndo bosi wa manispaa ya Iringa...lakin pamoja na kwamba tunampenda sana mzee wetu na tunathamimi mchango wa kimaendeleo kwa mji wetu ambao kumekuwa na maneno eti unaandaliwa kuwa jiji.,lakin ni busara sasa kama 2015 ukikaa kando na kukabidhi kijiti kwa mwenzako kuwa meya..ahadi zimekuwa tamu lakin utekelezaj hatuuoni..kasi imekuwa ndogo sana..miundombinu mibovu,stendi finyu,inatakiwa pia hata manispaa iplan kujenga soko kuu la kisasa lakin pia hata ofisi zake za kisasa..lakin yote kwa yote ukuaji wa mji umekuwa katika kasi ndogo hali inayoonyesha poor organization as well as poor planning..ukitizama manispaa zingine kama Morogoro,Moshi daily zinaonekana kupiga hatua...why you Iringa?
 
Iringa!!! Jiji?? Hivi ni vigezo gani vinatumika kuipa sehemu hadhi ya kuwa Jiji?
Idadi ya watu? Miondo mbinu???
Tanga!!! Mbeya!!! Arusha!!!?? I don't get it for sure, now kumbe na Iringa wanataka kuipa hadhi ya jiji, kwa sifa ipi?

Anyways, kila la kheri Iringa.:cool2:
 
Back
Top Bottom