Mstaafu Mkapa: Ibrahim Kaduma alikuwa mtenda haki na mzalendo wa kweli ninaamini Mungu atamuweka mahali pema peponi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,940
2,000
Rais mstaafu mzee Mkapa amesema marehemu Ibrahim Kaduma alikuwa ni mtu muadilifu, anayetenda haki, mzalendo wa kweli na aliyetoa utumishi uliotukuka na ni imani yake kuwa Mungu atampumzisha mahali pema peponi.

Mzee Mkapa amesema hayo katika ibada ya kumuaga rip Kaduma huko makongo juu jijini Dsm. Kaduma alikuwa waziri katika serikali ya JMT kwa nyakati tofauti wakati wa mwalimu Nyerere.

Misa hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbali mbali wa serikali na wale wastaafu wakiongozwa na makamu wa Rais mama Samia na waziri mkuu mstaafu mzee Lowassa.

Rip mzee Kaduma

Source ITV habari!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom