mayenga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 4,118
- 1,966
Nimetafakari sana wana JF wenzangu kabla ya kuleta mada hii jamvini.
Sote tunakula chakula cha aina tofauti,kwa wakati tofauti.
Pia nina imani kila mmoja wetu wakati mwingine hata kama sio kila mara,anakula chakula chenye kuendana na utamaduni wake. Mfano mchaga humtengi na ndizi mshale, udaga (unga wa mhogo) kwa mkerewe ndo usiseme nk.Na katika ulaji wetu suala zima la manufaa ya chakula uzingatiwa sana.
Kuna vyakula ambavyo lengo ni kunenepesha,vingine ni kupunguza unene, vyenye kuleta kumbukumbu nzuri,na pia vyenye kuzuia magonjwa ya kila aina.
Swali langu au letu na wengine wasiojua kama mimi, Je, rais anakula msosi wa aina gani?
Je, kuna vyakula vinavyomfanya rais asimame muda mrefu jukwani,aongee na asisikie kizungu zungu,au kuna vile vyenye kumfanya asikie kizunguzungu?
Je kuna vyakula vyenye kumfanya rais aote ubongo wa ziada wa kutosahau kila anachokiongea? Je chakula cha rais kinahamasisha asitamani kutoka Ikulu na atamani kujiongezea madaraka?
Nina imani hapa kuna watu ambao waliwahi kukaribishwa ikulu yoyote ile,na kumuona rais anakula.
Nisaidieni tafadhali nautamani msosi wa rais.