KELVIN GASPER JF-Expert Member Nov 1, 2010 1,066 454 Sep 10, 2011 #1 Muda muafaka wa kupata lunch. Nasema tena karibuni Attachments MAANDALIZI_YA_CHAKULA.JPG 61.8 KB · Views: 187
KELVIN GASPER JF-Expert Member Nov 1, 2010 1,066 454 Sep 12, 2011 Thread starter #6 Wakuu hii ilikuwa MORO. Yaliandaliwa mashindano ya kula ubwabwa na mgeni rasmi alukuwa mkuu wa mkoa.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,850 155,791 Sep 12, 2011 #7 CCM Bwana wanpenda kula haooooo
Dfour Member Mar 18, 2010 47 10 Sep 12, 2011 #8 Haaa yani ukitaka kumuua mtoto wa uswahilini bila kelele mwonyeshe ubwabwa wali na awe hana matumaini ya kuupata atakufa kwa msongo wa mawazo
Haaa yani ukitaka kumuua mtoto wa uswahilini bila kelele mwonyeshe ubwabwa wali na awe hana matumaini ya kuupata atakufa kwa msongo wa mawazo
KELVIN GASPER JF-Expert Member Nov 1, 2010 1,066 454 Sep 12, 2011 Thread starter #9 Washiriki wa shindano hili ndio hawa. Ulinzi mkali. Attachments PICHA_YA_PAMOJA_WASHINDI_WAKULA_.JPG 75.3 KB · Views: 58
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,011 11,942 Sep 12, 2011 #10 Kudadeki cheche limefulika kwenye sahani usipime.
KELVIN GASPER JF-Expert Member Nov 1, 2010 1,066 454 Sep 13, 2011 Thread starter #11 Mshindi akipokea wazadi. Attachments MSHINDI_WA_PILI_,WAZO_NGOSINGOSI_.JPG 54.3 KB · Views: 37