Msongo wa mawazo :Wajuzi nisaidieni najiuliza sana

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Wafalme Mara nyingi hutafuta furaha ya duniani kwa garama yeyote wanayomudu hata ikibidi kupoteza maisha ya mtu ama watu.
Wengine hudiriki kuliingiza taifa Katika mapigano ya vita
Wengine wana tumia mbinu na siasa chafu
Mfano kuunga juhudu nk.
Nini kifanyike kupunguza msongo mawazo ya mfalme walau ubunifu kitandani tuokoe mabilioni ya pesa na umoja wa taifa letu!?
 
Lord eyes nimeshaji tambulisha msongo wa mawazo wa mwingine Mimi huwa si ujali si achie ngazi
Msongo wa mawazo kwa mfalme ni hatari unaweza kuathiri maamuzi yake kwa kizazi cha leo na kesho.
Mfano tamko la kuzaliana, Kuna watu wengi huwalaumu wazazi wao kwa malezi duni na msingi mbaya elimu nk.
 
Back
Top Bottom