Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,279
- 25,857
Nakuandikia ujumbe huu mfupi Rais wangu wa Tanganyika Law Society (TLS), Wakili Msomi Mwandamizi Tundu A.M. Lissu. Unifikishie ujumbe huu kwa uongozi wetu wote wa TLS. Kuna tuhuma dhidi ya Wakili Msomi Mwandamizi Albert Msando. Kuna video isiyo ya kimaadili inayosambaa ikimhusisha.
Natoa wito kwa TLS, Rais Lissu na viongozi wetu wote mchukue hatua dhidi ya tuhuma kwa Wakili Msando. Uchunguzi ufanyike na hatua stahiki za kimaadili zichukuliwe itakapobainika kuna makosa ya kimaadili. Vitendo vya Wakili mmoja ni vitendo vya wanatasnia wote. Yatupasa kulinda taswira ya TLS na Wanasheria kwa ujumla.
Ni hayo tu.
Wako,
Wakili Petro Eusebius Mselewa (Roll Number 3874)
Wanajamvi, mnaweza kupitia Nyaraka hii: http://tls.or.tz/publication/view/r...-and-etiquette-of-the-tanganyika-law-society/