Ila mleta mada kaTISS ketu kana nguvu hata CIA wanaquestion uwezo kalikonao kachombo hako. Tusikadharau jamani. Utulivu wa nchi ni mikakati makini inayofanywa na hivyo vijamaa ambavyo hapa jukwaani tunavidharau.
Vishkaji kiukweli ni hatari. Mi nina kajamaa kangu tumepiga nako shahada ya 1 pale UD kumbe kalikuwa kashushu bwana lakini huwezi amini hakuna aliyekajua hadi tunamaliza.
Siku moja nikakaona Mwanza kwenye msafara wa Pinda ndo nikajua ni kashushushu. Tusividharau aise vijamaa viko njema ile kichizi.
what is the way forward.
wapo wanaosema TISS ivunjwe
wapo wanaosema CHADEMA ivunjwe.
Wapo wanagsema TISS na CHADEMA vifutwe.
huyo mwandishi si critical thinker na wala si great thinker bali ni great tenker kwani hajaeleza kinagaubaga hayo mabaya ya TISS,mimi nadhani ndugu zanguni wana jamvi tusiwe kama ng'ombe tuliokosa matumaini kwa kuendeshwa na tu na mawazo finyu ya mtu mmoja ati ndo tukafanya CONCLUSION ya hoja zake dhaifu kuwa ndio ukweli...Lazima tukubali ukweli hata kama ni mchungu kuwa HAKUNA NCHI INAYOWEZA KUWA SALAMA KAMA HAINA INTELLIGENCE COMPANY,unapoleta hoja dhaifu kuwa hao jamaa ni corrupt tunahitaji mifano dhahiri na sio tuhuma tu zisizo na msingi,nawaombeni wanajamvi wenzangu tufikiri vizuri kabla ya kuendeshwa na EMOTIONS na mawazo ya huyo mwandishi ambaye hajawahi kusifia utendaji wa serikali au taasisi yoyote ya serikali hata siku moja
wapo pia wanaosema ccm ifutwe!
Ila mleta mada kaTISS ketu kana nguvu hata CIA wanaquestion uwezo kalikonao kachombo hako. Tusikadharau jamani. Utulivu wa nchi ni mikakati makini inayofanywa na hivyo vijamaa ambavyo hapa jukwaani tunavidharau.
Vishkaji kiukweli ni hatari. Mi nina kajamaa kangu tumepiga nako shahada ya 1 pale UD kumbe kalikuwa kashushu bwana lakini huwezi amini hakuna aliyekajua hadi tunamaliza.
Siku moja nikakaona Mwanza kwenye msafara wa Pinda ndo nikajua ni kashushushu. Tusividharau aise vijamaa viko njema ile kichizi.
Mkuu nitajaribu kufafanua kidogo lakini kwa kirefu!!mwandishi angekuwa muwazi zaidi namna TISS wanavyotumika
Mkuu TISS wanafanyakazi gani kwa sasa?msomaji Raia anataka tuamini kwamba TISS si chochote si lolote hata ikivunjwa leo nchi itakuwa salama zaidi?