MSN/Travel-advice - Dar ni nafasi ya 6 katika majiji 10 machafu zaidi duniani!!!

Kweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
1,152
302
Kwa mujibu wa wavuti ya msn - jiji la Dar es salaam ni katika miji inayoongoza kwa uchafu duniani, hii imesababishwa zaidi na miundo-mbinu mbofu-mbofu! asilimia 70 ya wakazi wa Dar wanaishi kwenye maeneo yasiyopimwa, kitu ambacho kinasababisha zoezi zima la usafi kuwa gumu na kwa mujibu wa taasisi ya WaterAid mitaa ya Temeke "imejaa vinyesi" kila kona - Maisha bora kwa kila Mtanzania........... anayeishi the like of Mbezi beach that is!
Source:
Dar es Salaam, Tanzania - World
 
Back
Top Bottom