The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Marekani kuna logic, wakatoliki kule wanaweza kua wengi kuliko huku Tanzania, misri ina wakatoliki chini ya laki 2 ila makadinari 3. Nini special kwa misri?Anaamua papa kulingana na shughuli zake haingiliwi,mfano tanzania ina cardinal mmoja na marekani watano