Msiwalaumu Wakurya kwa kupiga wake zao

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
2,363
2,261
Jamani kumbe wanawake wana maneno ya kuudhi na shombo kiasi hiki? Ipo hivi leo bro kapishana kauli na msichana fulani, msichana

"Tusileteane ujinga hapa, hivi hunijui eeeh? Yaani unalalamika ujinga ujinga tu hapa". Nikaona kama ni mimi nimeambiwa vile, yaani khaaaa!

Jamani wanawake muda mwingine acheni tu wapigwe, kisa chenyewe kidogo na issue ya kuongea tu ila demu katoa shombo.

Wakubwa zangu nakubaliana na wanaosema wamekorofishana katika mahusiano, kumbe mambo ndio kama haya? Jamani kumbe ndio maana wanaume hufa mapema?

Yaani yule demu Mpalestina ni shida aisee
 
Nadhani tabia ya kupiga wake ni tabia ya mtu binafsi na sio ya kabila. Unataka kusema kwamba wanawake wa kikurya wao wanapigwa daily, sio?

Hua nachukia sana watu wenye mawazo ya kujumuisha, generalization syndrome, huu ni ugonjwa wa akili.

Chris Brown alimpiga Rihana, yeye anatoka Mara? Uchebe sijui mume wa shilole alimpiga shilole yule jamaa ni wa mara? Huko Marekani domestic violence ya wanawake kupigwa ni kubwa sana nao wanatokea Mara.

Ama unakuta mtu anasema wanawake wote wa Kihaya ni malaya, ama wanawake wa kichaga wanaua waume zao, unajiuliza kwa hiyo Kilimanjaro yote sasa hivi ni wanawake watupu wanaume wote wameuwawa ama?

Mawazo ya kipumbavu kabisa.
 
Samahani mkuu, sio Wakurya wote.
 
umepanic sana Boss, ka issue ni kadogo sna. hajasema wakurya wote ila ameongea sababu matukio kama hayo yapo sana huko
mimi nimeishi Tarime na Mugumu,wanwake hupigwa sana,kuna wengine walikuwa wanapiga hadi wanazimia afu wakiamka wamejinyea
 
Umeshaonyesha kwamba huna akili kwa hiyo sina sababu ya kujadiliana na wewe.
 
Jamani kumbe wanawake wana maneno ya kuudhi na shombo kiasi hiki? Ipo hivi leo bro kapishana kauli na msichana fulani, msichana

"Tusileteane ujinga hapa, hivi hunijui eeeh? Yaani unalalamika ujinga ujinga tu hapa". Nikaona kama ni mimi nimeambiwa vile, yaani khaaaa!

Jamani wanawake muda mwingine acheni tu wapigwe, kisa chenyewe kidogo na issue ya kuongea tu ila demu katoa shombo.

Wakubwa zangu nakubaliana na wanaosema wamekorofishana katika mahusiano, kumbe mambo ndio kama haya? Jamani kumbe ndio maana wanaume hufa mapema?

Yaani yule demu Mpalestina ni shida aisee
Mleta mada umri wako ni miaka mingapi?

Ahaaa, kumbe shule zimefungwa, nilikuwa nimesahau.
 
Kupiga mwanamke ni ushamba

Sasa unampiga,unamkata mkono,mguu

Hiyo unaona sifa

Ukiona hamuelewani paganini chini kila

Mtu aendele na maisha yake

Ova
 
Jamani kumbe wanawake wana maneno ya kuudhi na shombo kiasi hiki? Ipo hivi leo bro kapishana kauli na msichana fulani, msichana

"Tusileteane ujinga hapa, hivi hunijui eeeh? Yaani unalalamika ujinga ujinga tu hapa". Nikaona kama ni mimi nimeambiwa vile, yaani khaaaa!

Jamani wanawake muda mwingine acheni tu wapigwe, kisa chenyewe kidogo na issue ya kuongea tu ila demu katoa shombo.

Wakubwa zangu nakubaliana na wanaosema wamekorofishana katika mahusiano, kumbe mambo ndio kama haya? Jamani kumbe ndio maana wanaume hufa mapema?

Yaani yule demu Mpalestina ni shida aisee

Kwa Huu uandishi nawewe ni mwanaume? Neno ‘khaa’ limenitisha
 
Nadhani tabia ya kupiga wake ni tabia ya mtu binafsi na sio ya kabila. Unataka kusema kwamba wanawake wa kikurya wao wanapigwa daily, sio?

Hua nachukia sana watu wenye mawazo ya kujumuisha, generalization syndrome, huu ni ugonjwa wa akili.

Chris Brown alimpiga Rihana, yeye anatoka Mara? Uchebe sijui mume wa shilole alimpiga shilole yule jamaa ni wa mara? Huko Marekani domestic violence ya wanawake kupigwa ni kubwa sana nao wanatokea Mara.

Ama unakuta mtu anasema wanawake wote wa Kihaya ni malaya, ama wanawake wa kichaga wanaua waume zao, unajiuliza kwa hiyo Kilimanjaro yote sasa hivi ni wanawake watupu wanaume wote wameuwawa ama?

Mawazo ya kipumbavu kabisa.
Ndoa za mara ni za kibabe bila rungu na ubapa wa panga ndoa haiendi,hata wanawake wa huko bila ubabe awaendi,kule ni Kazi kazi mapenzi oa tanga,pwani
 
Wanawake wa mara wameaga jumla makwao huwa awakimbii ndoa utakimbia wewe ukapange ukikochoka na ukirudi unakuta nyumba imesimama maisha yanakimbizwa mchakamchaka.
Karibu mara kwa ndoa za mchakamchaka kijeshi jeshi mwanzo mwisho anaemchoka mwenzake ndie anaenda kupanga.
 
Mkuu nyuzi zako mbona zina ukakasi sana.

Mkeo kakufanyia nini, mbona unakuja na nyuzi za kushutumu sana wanawake, kulikonii??
 
Jamani kumbe wanawake wana maneno ya kuudhi na shombo kiasi hiki? Ipo hivi leo bro kapishana kauli na msichana fulani, msichana

"Tusileteane ujinga hapa, hivi hunijui eeeh? Yaani unalalamika ujinga ujinga tu hapa". Nikaona kama ni mimi nimeambiwa vile, yaani khaaaa!

Jamani wanawake muda mwingine acheni tu wapigwe, kisa chenyewe kidogo na issue ya kuongea tu ila demu katoa shombo.

Wakubwa zangu nakubaliana na wanaosema wamekorofishana katika mahusiano, kumbe mambo ndio kama haya? Jamani kumbe ndio maana wanaume hufa mapema?

Yaani yule demu Mpalestina ni shida aisee
Sasa bro wako kama kaleta ujinga ujinga asiambiwe????
 
Back
Top Bottom