data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,138
- 22,709
Ilibidi uandike hilo tu. Na hicho ndicho Papa alipaswa sema.Kitu ambacho tungefanya ni kudiscourage hiki kitendo kwa njia nyingine maana kikitawala sana hata population haitokua.
Ilibidi uandike hilo tu. Na hicho ndicho Papa alipaswa sema.Kitu ambacho tungefanya ni kudiscourage hiki kitendo kwa njia nyingine maana kikitawala sana hata population haitokua.
Sijashangazwa na kauli ya papa, hizo ndizo rangi halisi za kanisa la Romani Katoliki ambalo chimbuko lake kabla ya kuwa Dini ilikuwa ni Dola ya Rumi(Rome Empire). Kwa wanaoangalia mambo kwa jicho la ndani, wataweza kuona Papa Benedict wa kumi na sita alijiuzuru ndipo akaja huyu, Sio tukio la kawaida na linapotokea watu hatuna budi kujiuliza kunani??
Mkuu watu hawawezi kukuelewa maana Imani za dini zinatofautiana.... Ukimwambia usihukumu Mswalisuna unadhani atakuelewa..???? Akati wao wanafundishwa kuua na kujitoa muhanga...????? Mwisho wa siku kilamtu abaki na anachokiamini
Mkuu samahani! Hilo rejeo umelitoa kwenye kitabu gani. Yaani jina la hilo kitabu. Na nakipatajeSoma hapa
mambo ya walawi 20 biblia imekataza ushoga
km ww hauna dhambi yaan mkamilifu. Uwe wa kwanza kuvaa mabomu ukamlipue.Haya waombe radhi wafiraji na wasagaji.
Mbona wao wanatuhukumu? Kama wewe ni mkatoliki unajua kuwa tuna sakrament ya kitubio. Tunaungama, tunahukumiwa na kupewa adhabu, mbona wanatuhukumu? Sawa labda sisi haturuhusiwi kuhukumu, mapadre wanaruhusiwa, basi watoe hukumu maana mashogo wanakwenda kinyume na matakwa ya Mungu kama sisi tunavyohukumiwa kwa kwenda kinyume na matakwa ya Mungu. Au kuna double standards!
Pope ni kiongozi wa Dini tena ni Kiongozi wa Dini ya Katoliki lakini Yesu Kristo hakuleta dini.Acha wafu wawazike wafu wao.Mambo ya Mungu siyo opinions bali ni facts ni Amina na Kweli! Kanisa hapa nazungumzia mwili wa Yesu Kristo unapaswa kuihubiri kweli ya Mungu na kuwaelekeza watu kwa Mungu ambaye ni mtakatifu na anatutaka na sisi tuwe watakatifu.Kama ushoga unatufanya tupungukiwe na utukufu kazi ya Kanisa ni kulisemea na kuwaelekeza watu katika kweli sawa sawa na NENO la Mungu na vivyo hivyo kwa dhambi nyingine. Yesu Kristo ha-compromise kwa habari ya dhambi hivyo hatupaswi kama wakristu yaani wafuasi wake ku-compromise katika jambo ambalo ni dhambi.yaani inahuzunisha sana kiongoz wa dini kama huyu kuongea maneno kama hayo sijui dunia inaelekea wapi
Mh kilichobaki ni kufuata misingi ktk bible tu na si kusikiliza viongozi wa dini wanasemaje
Pope ni kiongozi wa Dini tena ni Kiongozi wa Dini ya Katoliki lakini Yesu Kristo hakuleta dini.Acha wafu wawazike wafu wao.Mambo ya Mungu siyo opinions bali ni facts ni Amina na Kweli! Kanisa hapa nazungumzia mwili wa Yesu Kristo unapaswa kuihubiri kweli ya Mungu na kuwaelekeza watu kwa Mungu ambaye ni mtakatifu na anatutaka na sisi tuwe watakatifu.Kama ushoga unatufanya tupungukiwe na utukufu kazi ya Kanisa ni kulisemea na kuwaelekeza watu katika kweli sawa sawa na NENO la Mungu na vivyo hivyo kwa dhambi nyingine. Yesu Kristo ha-compromise kwa habari ya dhambi hivyo hatupaswi kama wakristu yaani wafuasi wake ku-compromise katika jambo ambalo ni dhambi.
Kama watumishi wa Mungu tunapaswa kuwa mabalozi wa ufalme wa Mungu kwa kuyasema yale ambayo Mungu anataka tuyafanye hapa duniani na kuishi sawa sawa na mapenzi yake.
Hatupaswi kuwatenga au kumtenga yeyote kwasababu ya dhambi anayofanya bali tunapaswa kwa upole kuwaelekeza ili watambue yawapasayo kufanya.Mwisho wa siku tunapaswa kutambua kwamba mwisho umekaribia na Bwana yu karibu kuja kulichukua Kanisa lake.
Papa ni mwanadamu na ni kiongozi wa Dini yuko entitled kutoa opinion yake lakini mwongozo wetu siyo Papa bali Yesu Kristo kupitia Neno lake.
Mbona nasikiaga ana uwezo wa kusamehe dhambi
Kumnyonya mke wangu sehemu zake ni zambi?Binadamu tunapenda sana kuhukumu watu wenye dhambi lkn dhambi zote ni chukizo mbele za MUNGU.
Na watu wafanyao dhambi hawataona ufamle wa Mungu maana hao makazi yao ni jehanamu.
Kujiona ww ni mtakatifu kuliko wengine, uasherati, uzinzi, majivuno, kiburi, kutoa mimba, kujiua, kuua, ushoga, kunyonya sehemu za siri, ubakaji, ulawiti, ulevi, kuhukumu, uongo,kutokusamehe n.k
hawa wafanyao dhambi hiz hawataurusu ufalme wa MUNGU kama hawajatubu na kumrudia Mungu.
Kuna dhambi nying sana ambazo ni chukizo mbele za Mungu.
Kila mtu akimuabudu Mungu ktk roho na kweli hiz dhambi hazitakuwepo.
suala la kuwaomba msamaha mashoga hapa pope alikosea sbb huwez kumuomba mtenda dhambi msamaha.
Ni kweli kabisa amesema washirika wa mapenzi wanatakiwa waombwe radhi kwa namna walivyokuwa wakichukuliwa kimtazamo katika siku za nyuma. Pope anajua kanisa kwa namna moja au nyingine lilishiriki kuwanyanyasa hao washiriki, sasa kanisa linatakiwa kuwaomba radhi kwani hawakutakiwa kunyanyaswa kwa kutengwa, bali kupewa mwongozo wa kiroho kama wadhambi wengine.Mmeambiwa muwaombe radhi wafiraji na wasagaji.
kusema kuwa binadamu hana uwezo wa kumhukumu mtu sio kweli kwa wale wakatoliki wanafahamu mtu kama ukiwa hutoi zaka,huendi kanisani wala kushiriki katika vigango licha ya kutofanyiwa ibada yeyote ya maziko hutoruhusiwa kuzikwa ktk eneo husika la katoliki hata kama wewe ni mkatoliki je hio sio hukumu
Ushaomba radhi?km ww hauna dhambi yaan mkamilifu. Uwe wa kwanza kuvaa mabomu ukamlipue.
Wanaume tukibadilika dhambi nyingi zitapungua sana.
Ww kunyonya au kunyonywa sehemu za siri sio dhambi?
Hapo ndio utajua kuwa Islam ni dini ya Kweli
Hakuna kuiboresha zambi km imekemewa..
Tatizo wakristo wanatumia sana akili zao kuiongoza Biblia wakat tayar wameikuta imekamilika wanataka kuiongezea vitu kulingana na nafsi zao zinavyotaka
Qur'an haibadillishwi na hakuna kuongeza chochote bcz imekamilika na imetoamuongozo wa jins gan binadamu tuish hakuna kulegeza sheria hata km zinatubana
elewa thread inasemaje
kinachozungumziwa ni mambo ya kiroho.
Sasa ww ulikuwa unataka wapigwe wauawe?
Haturuhusiw kuhukumu sbb Mungu pekee ndiye anayehukumu na s binadamu.
Kuwakemea na kuwatenga hiyo ruksa tunaruhusiwa.
Bac ww ukiwaona wapige risas bac