Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis

Maelekezo yako wazi, mtu akiua tunasema wazi hilo ni kosa, akisema uongo nani asiyejua kuwa hilo ni kosa, mwizi tutasema huyu ni mwizi, eti tusubiri Mungu aje aseme huyu ni mwizi wakati tunamuona, mtu analala na mamaake mzazi, yaani tusubiri Mungu aje aseme hilo ni kosa,
Tusubiri Mungu aje aseme kuwa hilo ni kosa? Ninyi ndio wale wanaomfananishaga Mungu na Mjomba au Babu yao! Mungu ni Roho, yaani hana Mwili, hivyo huwezi kumfananisha na kiumbe au kitu chochote kwani yeye ndiye Muumba wa Mbingu na Nchi na VILIVYOMO, yeye ni Alfa na Omega! Wewe unaamini uumbaji wa binadamu ambao waliumbwa watu 2 tu (Adam & Hawa) halafu wakazaliana na kuijaza Dunia (Waarabu, Waafrika, Wazungu, Wayahudi, nk)? Kama ndio utueleze walivyozaliana bila ndugu kuingiliana, kama sio utueleze vile tulivyozaliana na kuijaza dunia, ukishindwa plz, review your understanding on theology, think big!
 
Hivi nani aliekufundisha kuwa kitendo hiki ni kosa na hiki halali? Ukijibu hilo utaelewa Ulicho kiandika hapa ni upotezaji tu muda...
Tatizo la wanadamu hasa wapenda maovu,hukimbilia eti kuhukumu unapomwambia hiyo nidhambi. Maelekezo yako wazi, mtu akiua tunasema wazi hilo ni kosa, akisema uongo nani asiyejua kuwa hilo ni kosa, mwizi tutasema huyu ni mwizi, eti tusubiri Mungu aje aseme huyu ni mwizi wakati tunamuona, mtu analala na mamaake mzazi, yaani tusubiri Mungu aje aseme hilo ni kosa, mtu anakata viungo vya albino tumuacha eti who am I to judge, Mtu ameacha kuoa mke atumie uke kwenye mahusiano, badala yake anachagua kutumia sehemu ya haja kubwa, eti tusubiri Mungu aje aseme, huu utakuwa ni wenda wazimu. kama vile tusivyo wataka, wezi, wauaji, waongo katika jamii, pia na wanoofanya mapenzi kinyume na maumbile kundi moja waharibifu hawtufai katika jamii. Na wao wanjijua kuwa hawafai, ndio maana wanahangaika huku na huko kutafuta kukubalika, nawengine wanafanya kwa kujificha wakijua haikubaliki, kwa hiyo wanajihukumu wenyewe hata kabla jamii haijapiga kelele. Ukitaka kujaribisha hilo kujua kwamba hata wao wanaona ni jambo baya, kutana nae barabarani alafu muite we kaka shoga njoo hapa, uone mzki wake.
 
ss wanaume tukibadilika tutapunguza dhambi kwa kiasi kikubwa sana km ushoga, kufanya mapenz ya njisia 1 na unyonyaji wa sehemu za siri na ukahaba.
Kumbuka hao wanaolala na makahaba na mashoga wateja wao ni ss wanaume. Kwahiyo tukibadilika ss tutapunguza dhambi nying
 
sasa kanisa lisipowaonya hata yeye lazima awe mkali naona devil on work
 
Siamini mashoga waliopo walilelewa na wazazi wao ili siku moja wawe mashoga kuna mazingira, makundi na visababishi mbali mbali ambavyo wakati mwingine it's beyond our capacity of limiting na ndio sababu nikakuonya uishie hapo.

Maana nimeshaona familia iliyokuwa na malezi ya kutukuka na bado kukapatikana shoga.

Pope aliposema anaona kanisa limevuka mipaka ni kwa yule mkatoriki alipo waua mashoga 49 kwa kisingizio cha imani... mwisho niseme tu uovu na usahihi vyote tumeelekezwa na imani yetu hivyo wale walio turithisha wana haki zaidi ya kutuhukumu kuliko sisi kuhukumiana adhabu za vifo.
Akazuba usishindwe malezi kwakuona uovu umekua mwingi duniani. Ndo tulishaambiwa hapa sio kwetu wote wapitaji lkn kuna watu washajipa miliki ya kudumu kama hawahusiki.... Anyway maandiko matakatifu yanatuambia ni bora kuingia mbinguni huna macho,mikono ama miguu kama ndo itakayokukosesha kuingia mbinguni! Ni mwenye akili tu ndo ataeza kujua nini nasema sasa kama utasubiri uwaziwe na mtu mwingine maisha haya rafiki yangu nakusikitikia. Najua utasema hunijui sikujui lkn beba hii itakusaidia,maisha ni safari isiyokuwa na mwisho na kwakuwa u-mzima usiache begi lako mbali na wewe.
 
ss wanaume tukibadilika tutapunguza dhambi kwa kiasi kikubwa sana km ushoga, kufanya mapenz ya njisia 1 na unyonyaji wa sehemu za siri na ukahaba.
Kumbuka hao wanaolala na makahaba na mashoga wateja wao ni ss wanaume. Kwahiyo tukibadilika ss tutapunguza dhambi nying

Umesema vyema Gregori's sisi wanaume tumepoteza direction ya utawala tokea bibi yetu Eva alivomuingiza chaka babu yetu Adam! Sasa leo organ ya mwanamke imetushikilia chini hatuna ujanja. Sio hivyo tu bali shetani ameshika fahamu zetu nakutuaminisha ipo raha zaidi tukifanya kinyume na maumbile. Ila mwanaume mwenye kuweza kushinda nguvu ya organ ya mwanamke.... huyo ni zaidi ya mwanaume. Je ni wangapi wanaweza kujikontroo na sio kukontroliwa na nguvu ya organ????
 
kukuemea uovu lzm uendane na kuchukua hatua. ndio maana yesu aliwafukuza wafanyabiashara kanisani nao wangelilia kuhukumiwa, nehemia aliwafukuza hadi wanawake waliokuja kujiuza na kufanya bisness siku ya kusali aliwakata hadi nywele, yohana alikemea herode uovu wake akakatwa kichwa, paulo alimkemea petro alipoonyesha unafiki kwa wayahudi, man paciao alipigwa ban kuingia supermarket kisa kawasema mashoga. Ulimwengu wa leo case zote hizo hukimbilia kwenye kuhukumu. kanisani ukisema wadada wajisitiri vzr umehukumu, hatupaswi kutoa kauli zenye kuipa unafuu tabia flani ovu kwa namna yoyote ile. tulipofikia ulaya marekani na africa hakuna kiongozi wa dini mwenye ujasiri wa kukumea adharani mwenendo huu. maana dunia itakuona unahukumu,mbaguzi, huna huruma ikiwezekana kutengwa. tunapaswa kuuchukia uovu sio muovu lkn pia tunapaswa kumkemea na kumuonya muovu bila kupepesa macho. hii kazi dunia itakuona mchochezi na unahukumu na kubagua.
Ni mapepo tu yalipokemewa na Yesu yalilalamika kuhukumiwa kabla ya Muda wao
karibu
hii ndo coment nzuri kuliko zote big up ndugu kwa ukweli
 
Sawa Papa tusihukumu sasa tuwafanyeje?
Mbona km unakitu umekificha hukisemi? Km ni chukizo kwa Mungu kwann tusiwakemee na kuwakataza? Wakristo bhana kwann Biblia haijakemea haya maovu?
dini za shetwan
 
Sasa ngoja nianzishe dini ya shetani ya dhahiri kabisa nitafute na wafadhiri kutoka kuzimuni maana naona wafuasi ni wengi mnajizungusha tu nyuma ya vi quotes vya bible lkn hamna kitu
ndugu hapo umenena humu weng hawaelew
 
Wajibu wa pope Kama mwakilishi wa Kristo hapa duniani anapaswa kusema maandiko yanasemaje juu ya ushoga, sio jukumu lake kusema ni sawa au sio sawa! Au kutoa maoni yake binafsi otherwise atueleze anamtumikia nani mpaka apate wakati mgumu kueleza msimamo wa mwajiri wake?
 
Kinachoshangaza zaidi watu wakipeana taraka kanisa linawatenga, hayo mamlaka ya kuhukumu na kutenga anayosema hana ktk hili anayapata wapi?
 
Hapa ndio utajua dini ipi fake na ipi iko real hutosikia kiongozi wakiislamu akisapoti huo ujinga halafu wanajiita wakatoliki
 
Ujue wazungu wanaamini sana katika uhuru wa mtu mmoja mmoja na kuishi Kama ambavyo yeye anahisi anaifurahisha nafsi yake... Ndio maana wakati mwingine uhuru unapitiliza na kufanya mambo ambayo (nafikiri) hayampendezi mwenyezi Mungu, but Who Am I to Judge..????? Bado POPE amesimama kwenye misingi ya dini, sisi sio Mungu.... Tumuachie mwenyew ataelewana na wana wake siku ya Hukumu....!!!!!!! Sisapoti mapenzi ya jinsia moja but Who Am I to Judge...????
Unakosea unavyosema hivyo. Yeye ni kiongozi mkubwa sana wa kanisa na alipaswa kukemea na kulipinga hilo wala usimtetee.

Mbona anawakuhumu/ anatoa hukumu kwa wanandoa wanaoenda kinyume na taratibu za ndoa ya kikatoliki?

Mbona anawahukumu wezi wa vyombo vya kanisa?

Mbona anawahukumu wazinzi (waliodhihirika wakiiba?)
 
Hamjamuelewa Papa, Binadam hana haki ya kumhukumu binadam mwenzake kwa mambo ya kiroho isipokuwa anahaki ya kumkemea kama anafanya sivyo! Anayehukumu ni Mungu peke yake, sasa kipi kigumu kuelewa hapo?
Wale wazinzi au wanaoiba vyombo vya kanisa na kuhukumiwa kwa kutengwa kundini je vipi?

Acha kumtetea papa,mbona anawahukumu wengine na si kuwakemea?
 
Back
Top Bottom