Msivae Barakoa kumwogopa Makonda sisi wana Dar tufate maelekezo ya wataalamu wa afya

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,014
8,368
Ninatumah wote tu wazima, na tunaendelea na mfungo wa maombi ya kuombea Taifa letu kama tulivyo ombwa na Mh Rais wetu mpendwa.

Ninaomb niwe mkweli maana hakika mtu mkweli ni mpenzi wa MUngu tangu janga ili la corona limeingia nchini mwetu nilifurah sana serikali kutoa mwongozo wa yakuwa ni nani ambaye atatakiwa kuwa anazungumzia maradhi haya ya corona.
Nataka niseme ukweli wananchi wa Dsm tungeachwa tuwe tunapokea taarifa kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Dsm takwimu hizi tunazopewa sitanii zingekuwa mara kumi ya hizi taarifa.

Nina sema hivyo kwa sababu Mkuu wetu wa mkoa wa Dsm anakasumba ya kudhani kuwa mkoa wa Dsm una watu ambao ni mapoyoyo yani ni mtu ambae akiwa anazungumza anashindwa kutambua kuwa anaongea na watu ambao pengine wanamzidi Elimu,umri,kipato, watoto na nk

kama hiyo haitoshi basi hata kumzidi kiwango cha nizamu, mimi kwa kweli nmekuwa kila nikimuona huyu bwana anaongelea maradhi ya corona naisi yeye ndo kirusi cha corona chenyewe.

Tafadhali wana Dsm tufate maelekezo ya waziri wa afya tuachane na porojo za makonda tusivae Barakoa kumuogopa Makonda tuvae kumwogopa corona na tutiii maelekezo ya wataalamu na sio porojo zisizo na tija ila tunamtaka kuanzia kesho asambaze vifaa alivyopewa zikiwemo SENITAIZA kwa wananchi .
 
usalama wa afya ya binadamu unaanza na yeye mwenyewe binafsi, mathalani awe labda mtoto anahitaji uangalizi zaidi.

Njia za kujikinga zinafahamika kwa kila mtu, naipongeza serikali(matabibu) kwa kutoa elimu.
Haya ni kazi kwetu sisi kujikinga na kulinda na wengine
 
Mhe. RC
IMG_20200418_224558_779.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu sijui kwanini hajionea hata aibu angekaa kimya akaona jinsi mambo yanavyokwenda maana ameshatoa matamko manne mpka sasa yote yanakingizana kabisa.

Aache wananchi wawasikilize wenye uelewa. Yeye alishafeli idara zote kuanzia darasani mpka hata productive
 
Ninatumah wote tu wazima, na tunaendelea na mfungo wa maombi ya kuombea Taifa letu kama tulivyo ombwa na Mh Rais wetu mpendwa.

Ninaomb niwe mkweli maana hakika mtu mkweli ni mpenzi wa MUngu tangu janga ili la corona limeingia nchini mwetu nilifurah sana serikali kutoa mwongozo wa yakuwa ni nani ambaye atatakiwa kuwa anazungumzia maradhi haya ya corona.
Nataka niseme ukweli wananchi wa Dsm tungeachwa tuwe tunapokea taarifa kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Dsm takwimu hizi tunazopewa sitanii zingekuwa mara kumi ya hizi taarifa.

Nina sema hivyo kwa sababu Mkuu wetu wa mkoa wa Dsm anakasumba ya kudhani kuwa mkoa wa Dsm una watu ambao ni mapoyoyo yani ni mtu ambae akiwa anazungumza anashindwa kutambua kuwa anaongea na watu ambao pengine wanamzidi Elimu,umri,kipato, watoto na nk

kama hiyo haitoshi basi hata kumzidi kiwango cha nizamu, mimi kwa kweli nmekuwa kila nikimuona huyu bwana anaongelea maradhi ya corona naisi yeye ndo kirusi cha corona chenyewe.

Tafadhali wana Dsm tufate maelekezo ya waziri wa afya tuachane na porojo za makonda tusivae Barakoa kumuogopa Makonda tuvae kumwogopa corona na tutiii maelekezo ya wataalamu na sio porojo zisizo na tija ila tunamtaka kuanzia kesho asambaze vifaa alivyopewa zikiwemo SENITAIZA kwa wananchi .

Sent using Jamii Forums mobile app
Wataalamu ndiyo wanataka tuvae barakoa
 
BASHITE NA AMRI ZAKE, mhe. Kassim Majaliwa huyu dogo amemshinda? Dada Ummy ulisemaje kuhusu uvaaji wa barakoa? Mbona bAshiTE kila siku anatoa AMRI za kitoto?
1. Alimshukuru Mungu kwa mtoto wa Mbowe kupata covid 19 ( alikuwa msemaji wa familia ya Mbowe au Msemaji wa Wizara?)
2. Aliagiza punguzo la kodi ya pango kwa wenye nyumba ( msemaji wa Wizara ya Lukuvi)
3. Aliagiza watu watoke wakachape kazi
4. Aliagiza watu wajifungie ndani
5. Leo anaagiza kila mtu avae barakoa

Ninatumah wote tu wazima, na tunaendelea na mfungo wa maombi ya kuombea Taifa letu kama tulivyo ombwa na Mh Rais wetu mpendwa.

Ninaomb niwe mkweli maana hakika mtu mkweli ni mpenzi wa MUngu tangu janga ili la corona limeingia nchini mwetu nilifurah sana serikali kutoa mwongozo wa yakuwa ni nani ambaye atatakiwa kuwa anazungumzia maradhi haya ya corona.
Nataka niseme ukweli wananchi wa Dsm tungeachwa tuwe tunapokea taarifa kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Dsm takwimu hizi tunazopewa sitanii zingekuwa mara kumi ya hizi taarifa.

Nina sema hivyo kwa sababu Mkuu wetu wa mkoa wa Dsm anakasumba ya kudhani kuwa mkoa wa Dsm una watu ambao ni mapoyoyo yani ni mtu ambae akiwa anazungumza anashindwa kutambua kuwa anaongea na watu ambao pengine wanamzidi Elimu,umri,kipato, watoto na nk

kama hiyo haitoshi basi hata kumzidi kiwango cha nizamu, mimi kwa kweli nmekuwa kila nikimuona huyu bwana anaongelea maradhi ya corona naisi yeye ndo kirusi cha corona chenyewe.

Tafadhali wana Dsm tufate maelekezo ya waziri wa afya tuachane na porojo za makonda tusivae Barakoa kumuogopa Makonda tuvae kumwogopa corona na tutiii maelekezo ya wataalamu na sio porojo zisizo na tija ila tunamtaka kuanzia kesho asambaze vifaa alivyopewa zikiwemo SENITAIZA kwa wananchi .

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali wana Dsm tufate maelekezo ya waziri wa afya tuachane na porojo za makonda tusivae Barakoa kumuogopa Makonda tuvae kumwogopa corona na tutiii maelekezo ya wataalamu na sio porojo zisizo na tija ila tunamtaka kuanzia kesho asambaze vifaa alivyopewa zikiwemo SENITAIZA kwa wananchi .
Mbona unakanganya?
Unasema tusivae barakoa,halafu unamtaka kesho asambaze vifaa,vya nini wakati umesema tusitumie
Ujuaji na chuki binafsi vinatupoteza watanzania
Wakati ukimwi unaingia,watu walipuuza condom wakafa kama mende
Wenzetu wazungu wanajadili aina gani ya barakoa ni nzuri,wewe unakataza watu
Waziri alishasema mapema tuvae barakoa na kunawa mikono,labda kama umeanza kumfuarilia jana
 
Back
Top Bottom