Msitutoe kwenye habari iliyopo mjini kwa sasa ya Yanga kuangukia pua asubuhi mapema caf champions league kwa kutuletea takwimu zilizopitwa na wakati!

Kwa kweli yanga utopolo ni klabu kubwa! Imeshiriki mechi za kimataifa hadi ikafika Nigeria!! Nani kama utopolo?
 
Mechi mbili za cafcl zote wamepigwa. wameshindwa hata kujitetea walau kudraw hata mechi moja kima hawa.
 
Habari iliyopo mjini ni utopolo kuangukia pua asubuhi na mapema caf champions league!! Hizi takwimu za mapato ya msimu uliopita mngetoa msimu uliopita!! Acha tuongelee habari ya mjini kwa sasa !
Simu ni yako,bando lako ID fake ni yako,bado unalia na takwimu za Yanga,andika ukolo wako dhidi ya Yanga hakuna atakayekushika mkono wala kukuzimia data KOLO
 
Povu la nini!! Habzri ya mjini iko pale pale! Lengo la utopolo kwa mujibu wa msemaji Haji manara si kufika hatua ya makundi bali kuvuka hatua ya makundi!! Kwa utopolo kufika Nigeria tayari wamevuka hatua ya makundi!! Kwa aibu hiyo kwa nini usitafutwe mkakati wa kuwapumbaza wanautopolo kwa kuwapa takwimu za zisizohusiana na soka tena za msimu uliopita na wanautopolo wataridhika na hilo na maisha yaendelee !
 
.
Screenshot_20210925-201759-1.jpg
 
Sawa mkuu hiyo ishapitwa na wakati

Habari mpya kwasasa simba kapigwa na Yanga.
 
Back
Top Bottom