Msitusumbue we have nothing to lose , eboh

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
'Eti maisha yamekuwa magumu lini yalikuwa rahisi'

Kutuita praise team haitabadilisha ukweli,
kuwa kama nyie mnamchukia sio lazima na sisi tumchukie

Mlipo kuwa matesa hapa mjini mlitesa na ndugu zenu,hawala zenu na familia zetu mchuma janga hula na nduguze.

Wakati mnaiba PAC ,BANDARI,( Eti wazee wa bandari),TANAPA,ATC ,TIC,NSSF,NHC na kwingine hamkutuita

Wakati wa equalization ndio huu ,sisi tumeyazoea haya maisha ,tuliishi wa kamshahara na maiaha yakaenda so tulieni sindano iingie

State agent
 
Kwa akili yako,unafikili tajiri akifilisika atafanana kama wewe mtoto wa mama/kula kulala wee.
 
Inaonekana haujafaidi matunda ya awamu ya 5, ila unatamani lakini nafuu yako ni kuona na wengine wanateseka pia ambao una wivu na maendeleo yao. Kisaikolojia una maumivu moyoni na ndio maana yanakutoka maneno makali. Pole sana, hata kitendo cha kujiita State agent ni dalili za mawazo ya kimaskini ya mtu anayehitaji recognition katika jamii. Unatamani ungekuwa state agent kweli lakini labda uwezo wako ni mdogo wa kufikiri.
 
Ukapuku umekutesa hata hueleweki upo upande upi

Tulieni sindano iingie mpaka mseme amina

Ukivunja ungo utafahamu nachomaanisha
Inaonekana haujafaidi matunda ys awamu ya 5, ila unatamani lakini nafuu yako ni kuona na wengine wanateseka pia ambao una wivu na maendeleo yao. Kisaikolojia una maumivu moyoni na ndio maana yanakutoka maneno makali. Pole sana, hata kitendo cha kujiita State agent ni dalili za mawazo ya kimaskini ya mtu anayehitaji recognition katika jamii. Unatamani ungekuwa state agent kweli lakini labda uwezo wako ni mdogo wa kufikiri.
 
Ukapuku umekutesa hata hueleweki upo upande upi

Tulieni sindano iingie mpaka mseme amina

Ukivunja ungo utafahamu nachomaanisha
Mkuu mimi sio mganga njaa kama wewe. Nina taalama yangu ambayo imenipa ajira ninayoifurahia kabisa, tena awamu hii ndio nimepata. Najivunia ni moja ya taaluma adimu na Serikali imeweka pesa nyingi kwangu. Serikali inanitambua. Sasa wewe unayetoa matusi ni wazi unateseka kisaikolijia. Shida ni kuwa mliacha kukazania masomo, mmebaki kupewa viposho vya elfu 2 kuandika andika kwenye mitandao ya kijamii.
 
CCM Ni ileile
 
Attachments

  • FB_IMG_15726629462907437.jpg
    FB_IMG_15726629462907437.jpg
    5.8 KB · Views: 1
'Eti maisha yamekuwa magumu lini yalikuwa rahisi'

Kutuita praise team haitabadilisha ukweli,
kuwa kama nyie mnamchukia sio lazima na sisi tumchukie

Mlipo kuwa matesa hapa mjini mlitesa na ndugu zenu,hawala zenu na familia zetu mchuma janga hula na nduguze.

Wakati mnaiba PAC ,BANDARI,( Eti wazee wa bandari),TANAPA,ATC ,TIC,NSSF,NHC na kwingine hamkutuita

Wakati wa equalization ndio huu ,sisi tumeyazoea haya maisha ,tuliishi wa kamshahara na maiaha yakaenda so tulieni sindano iingie

State agent
utasaga sana meno, umezoea kula misumali umeridhika tulia hvohvo ugegedwe,ukisikia watu wanasema maisha magumu usifikiri wanakula misumari kama wewe, watu bata zipo pale pale ni maneno tu. endelea kufikiri watu wanateseka pamoja nawe... upo peke ako na wajinga wenzio jipe moyo tu ule kwa macho
 
'Eti maisha yamekuwa magumu lini yalikuwa rahisi'

Kutuita praise team haitabadilisha ukweli,
kuwa kama nyie mnamchukia sio lazima na sisi tumchukie

Mlipo kuwa matesa hapa mjini mlitesa na ndugu zenu,hawala zenu na familia zetu mchuma janga hula na nduguze.

Wakati mnaiba PAC ,BANDARI,( Eti wazee wa bandari),TANAPA,ATC ,TIC,NSSF,NHC na kwingine hamkutuita

Wakati wa equalization ndio huu ,sisi tumeyazoea haya maisha ,tuliishi wa kamshahara na maiaha yakaenda so tulieni sindano iingie

State agent
We kunguni unashangaza sana

Hawala ndio nini?

Kama hata kuandika vizuri hujui, unajua nini?

Tulia upone mama
 
We kalia kulamba makalio tu,wanaofaidi hawazidi watano we ni praise team tu
 
.
'Eti maisha yamekuwa magumu lini yalikuwa rahisi'

Kutuita praise team haitabadilisha ukweli,
kuwa kama nyie mnamchukia sio lazima na sisi tumchukie

Mlipo kuwa matesa hapa mjini mlitesa na ndugu zenu,hawala zenu na familia zetu mchuma janga hula na nduguze.

Wakati mnaiba PAC ,BANDARI,( Eti wazee wa bandari),TANAPA,ATC ,TIC,NSSF,NHC na kwingine hamkutuita

Wakati wa equalization ndio huu ,sisi tumeyazoea haya maisha ,tuliishi wa kamshahara na maiaha yakaenda so tulieni sindano iingie

State agent
 
We kalia kulamba makalio tu,wanaofaidi hawazidi watano we ni praise team tu
I wish wangelilifahamu hilo... eti enzi za "equalization"!!

Halafu JF bhana, hawa praise team wengi wao wana maisha magumu kweli kweli!

Kuna Praise Team mmoja kuna siku nilimbananisha kweli kweli na kwa jinsi alivyokuwa anajidai, ungeweza kuamini kwamba na mwenyewe ni miongoni mwa wanafuika kumbe anaishi mjini kwa kutegemea kakibanda kake ka biashara ndogo ndogo Vingunguti!

Yaani kuna mazuzu wengine wamegeuka kuwa praise team kwa sababu tu wanatoka wilaya moja au mkoa mmoja na Rais.. very stupid!
 
Tulieni sindano iingie mpaka mseme amina
Ndo mnapofeli hapo! Mnadhani wanaompinga JPM wana hali ngumu!

Ukweli ni kwamba Praise Team nchi hii ndio wenye hali ngumu maradufu kuliko wapinzani wa JPM!!! Wengi kwa kukosa maarifa wanadhani Magu ndie mkombozi wao wakati Magu tayari keshawakomboa na ataendelea kuwakomboa akina Bashite and few insiders!!
 
Back
Top Bottom