Msitongozane usiku

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
quote_icon.png

ukizoe kutongoza usiku uwezi elewa nilichosema;;soln
acha mpende mwenzio kama ni kutongozana tongozaneni mkiwa mchana kweupe....kwa kukusaidi huyu bana alikutana na binti usku akapenda.akachukua namba keshoye alipomwona akachomoa si yeye na hapo
else tumwombe kikwete msada wa elimu ya bure
 
Tena kweli sometimes usiku inawezekana jamaa lina mzigo mkubwa wa chini, sasa gizania utajuwaje, likiushusha utakimbia na kusahau chuuu.....p
 
Mi hakili yangu naijua sio mgando kabsaaa mh lakini ndugu hii story yako sijaielewa kabsaaa yani haieleweki nini tena unajaribu kuelezea nini eti, siajambua hata moja. JESUS IS MY HOME BOY.
 
mi hakili yangu naijua sio mgando kabsaaa mh lakini ndugu hii story yako sijaielewa kabsaaa yani haieleweki nini tena unajaribu kuelezea nini eti, siajambua hata moja. Jesus is my home boy.

ukizoe kutongoza usiku uwezi elewa nilichosema;;soln
acha mpende mwenzio kama ni kutongozana tongozaneni mkiwa mchana kweupe....kwa kukusaidi huyu bana alikutana na binti usku akapenda.akachukua namba keshoye alipomwona akachomoa si yeye na hapo
else tumwombe kikwete msada wa elimu ya bure
 
ukizoe kutongoza usiku uwezi elewa nilichosema;;soln
acha mpende mwenzio kama ni kutongozana tongozaneni mkiwa mchana kweupe....kwa kukusaidi huyu bana alikutana na binti usku akapenda.akachukua namba keshoye alipomwona akachomoa si yeye na hapo
else tumwombe kikwete msada wa elimu ya bure
Ooh hapa sasa nimekupata, maelezo mafupi bt nimeyaelewa zaidi. Thanx.
 
Hakieleweki kitu mpwa..
Tatiozo ni nini?
Bia za Rose Garden au ??
kaka mmoja alikuwa akitoka ofisini gafla akaniambia ndugu twende tukale msosi pale rose garden
nkamwambia naupenda wa breakpoint akakataa kabisa m nikamwambia nishshe hapa
kumbe kijana jana usiku alikuwa kwenye mtaa wa watu akakutana na kabinti kamija akaomba namba ya simu anavyodai wakaonana wakatongozana lakini ilikuwa gizan kidogo

alimuahidi kumeet rosegarden gafla akamwambia njoo hapa millenium tower unaijua akasema hapana m nimetoka iringa sina mwezi..nkamwambia hao wale wale watchout ukienda opote niachie vitu vyako utamkuta posta ukifanya mchezo akasema subiri kaka..akamwambia basi tax sh ngapi akaambiwa alfu 2
akasema lipa ntakuja kukupa

binti akaenda na kashuka ;akalipa tax ikaondoka.sie tulikuwa kwenye parking tunamsubiria tuvuke kwenda millenium..jaman wanaume sie..jamaa akapiga simu kusema mbona afiki...akamwambia nimeshafika saa nyingi..nikamwambia si yule anaepokea akasema sio yule nkamwambia piga akapiga binti akapokea
akika dhambi kubwa inayotutesa ni tamaa ukiacha uongo..jamaa akapiga tena akika sikuamini akapitiliza na kwenda bar nikamwambia ni bindamu yule akasema kaka demu gani wewe yaani hata sijui ilikuwaje nkamwambia mwambie samahani nina haraka mpe na buku zake 2 jamaa akakataa katakata

so nawaomba najua mpaka ndoa mlolongo mrefu ila ukichagua jitahdi kuepuka mapenzi ya gizani mtakuja kukimbia watu tena na kujiongezea dhambi yamkini yule dada akuwa na nauli ya kurudi labda ...anyway
tuwe makini na hili
WANA JF
 
Ingawa stori nzima ni rambe lakini ina fundisho zuri sana. Kutongoza usiku hasa kwenye clubs si jambo ambalo nitamshauri mtu afanye. Na kwa bongo watu washukuru hakuna ma transexual wengi la sivyo jinsi kulivyo na ma utitiri ya baa watu lazima wangekuwa washaingia mkenge. It's spooky.
 
kaka mmoja alikuwa akitoka ofisini gafla akaniambia ndugu twende tukale msosi pale rose garden
nkamwambia naupenda wa breakpoint akakataa kabisa m nikamwambia nishshe hapa
kumbe kijana jana usiku alikuwa kwenye mtaa wa watu akakutana na kabinti kamija akaomba namba ya simu anavyodai wakaonana wakatongozana lakini ilikuwa gizan kidogo

alimuahidi kumeet rosegarden gafla akamwambia njoo hapa millenium tower unaijua akasema hapana m nimetoka iringa sina mwezi..nkamwambia hao wale wale watchout ukienda opote niachie vitu vyako utamkuta posta ukifanya mchezo akasema subiri kaka..akamwambia basi tax sh ngapi akaambiwa alfu 2
akasema lipa ntakuja kukupa

binti akaenda na kashuka ;akalipa tax ikaondoka.sie tulikuwa kwenye parking tunamsubiria tuvuke kwenda millenium..jaman wanaume sie..jamaa akapiga simu kusema mbona afiki...akamwambia nimeshafika saa nyingi..nikamwambia si yule anaepokea akasema sio yule nkamwambia piga akapiga binti akapokea
akika dhambi kubwa inayotutesa ni tamaa ukiacha uongo..jamaa akapiga tena akika sikuamini akapitiliza na kwenda bar nikamwambia ni bindamu yule akasema kaka demu gani wewe yaani hata sijui ilikuwaje nkamwambia mwambie samahani nina haraka mpe na buku zake 2 jamaa akakataa katakata

so nawaomba najua mpaka ndoa mlolongo mrefu ila ukichagua jitahdi kuepuka mapenzi ya gizani mtakuja kukimbia watu tena na kujiongezea dhambi yamkini yule dada akuwa na nauli ya kurudi labda ...anyway
tuwe makini na hili
WANA JF

sijakuelewa kamanda. Nadhani inabidi story ui-edit
 
mi hakili yangu naijua sio mgando kabsaaa mh lakini ndugu hii story yako sijaielewa kabsaaa yani haieleweki nini tena unajaribu kuelezea nini eti, siajambua hata moja. Jesus is my home boy.

kwakweli naungana nawewe.second part na third part hawaeleweki kama yupi ni yupi...
 
kaka mmoja alikuwa akitoka ofisini gafla akaniambia ndugu twende tukale msosi pale rose garden
nkamwambia naupenda wa breakpoint akakataa kabisa m nikamwambia nishshe hapa
kumbe kijana jana usiku alikuwa kwenye mtaa wa watu akakutana na kabinti kamija akaomba namba ya simu anavyodai wakaonana wakatongozana lakini ilikuwa gizan kidogo

alimuahidi kumeet rosegarden gafla akamwambia njoo hapa millenium tower unaijua akasema hapana m nimetoka iringa sina mwezi..nkamwambia hao wale wale watchout ukienda opote niachie vitu vyako utamkuta posta ukifanya mchezo akasema subiri kaka..akamwambia basi tax sh ngapi akaambiwa alfu 2
akasema lipa ntakuja kukupa

binti akaenda na kashuka ;akalipa tax ikaondoka.sie tulikuwa kwenye parking tunamsubiria tuvuke kwenda millenium..jaman wanaume sie..jamaa akapiga simu kusema mbona afiki...akamwambia nimeshafika saa nyingi..nikamwambia si yule anaepokea akasema sio yule nkamwambia piga akapiga binti akapokea
akika dhambi kubwa inayotutesa ni tamaa ukiacha uongo..jamaa akapiga tena akika sikuamini akapitiliza na kwenda bar nikamwambia ni bindamu yule akasema kaka demu gani wewe yaani hata sijui ilikuwaje nkamwambia mwambie samahani nina haraka mpe na buku zake 2 jamaa akakataa katakata

so nawaomba najua mpaka ndoa mlolongo mrefu ila ukichagua jitahdi kuepuka mapenzi ya gizani mtakuja kukimbia watu tena na kujiongezea dhambi yamkini yule dada akuwa na nauli ya kurudi labda ...anyway
tuwe makini na hili
wana jf
edit kidogo stori inaonekana ni nzuri
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu juzi kati kunajamaa yangu alitongoza demu kizani mara wakakubaliana jamaa akamchukua yule demu hadi kwake alipowasha taa kumwangalia yule demu kakondeana alifu anavipele jamaa akanibeep baada ya kumpigia me nashangaa ananiambia nakuja sasa hivi akamwambia yule demu twendezetu tutarudi tena kunajamaa ananiita walipotoka jamaa ndo ikawa pona pona yake!
 
umenikumbusha mbali sana mkuu juzi kati kunajamaa yangu alitongoza demu kizani mara wakakubaliana jamaa akamchukua yule demu hadi kwake alipowasha taa kumwangalia yule demu kakondeana alifu anavipele jamaa akanibeep baada ya kumpigia me nashangaa ananiambia nakuja sasa hivi akamwambia yule demu twendezetu tutarudi tena kunajamaa ananiita walipotoka jamaa ndo ikawa pona pona yake!

we unasemea hiyo kuna mshikaji alikuwa akifanya kazi kwa ndege si unajua usiku mambo ya nyt stop akachukua mzigo kia asubuhi anaa mka ikabidi auamshe mapema uwahi wenzake wasiuone jamaa alikuwa na mazoea ya kupiga gizani.jamaa alipoamka akiwa na akili timamu lohhh akakuta demu mabaka matupu nyuma mbele...akamkimbiza bila hata kuoga alipokuwa angan akapiga kama ameniua mimi basi yaani alivyoonekana mzuri...mungu amrehemu sasa ni marehemu wote wawili...hatari ndio maana kuna marafiki zangu wawili siwalaumu lakini wao huwa wanajijua udhaifu wakiwa wanatongoza wanavaa kabisa kikieleweka awaitaji shida..unajua kinachowaua wengi ni ile tamaa ya goli la kwanza na ndio maana angalia wengi wakichukua comond 3 ukikuta moja imetumika basi kapigwa mbili huyo ukikuta mbili zimelowa kapigwa tatu..so kama unajijua vaa mapema mkiingia unaingia....usiwe kwenye lile kundi ati anampiga game ya kwanza kavu ya pili unavaa mondoc ya nini endelea kula urojo ukukule
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu juzi kati kunajamaa yangu alitongoza demu kizani mara wakakubaliana jamaa akamchukua yule demu hadi kwake alipowasha taa kumwangalia yule demu kakondeana alifu anavipele jamaa akanibeep baada ya kumpigia me nashangaa ananiambia nakuja sasa hivi akamwambia yule demu twendezetu tutarudi tena kunajamaa ananiita walipotoka jamaa ndo ikawa pona pona yake!

kuokota okota kutawaponza wengi,sasa inamaana huyo dada alikua kavaa miguo mingi hadi jamaa yako ashindwe kumuona alivyokonda hadi wafike chumbani ndo amuone au?maana mtu aliyekondeana hadi usoni unamuona tu.anyways,kaka zetu kuweni makini tunawahitaji.
 
Ooh so sad, mtu kufa kwa uzembe wa tamaa zake mungu amlaze mahala pema maskini.
 
m nahisi wanandoa kama mnajuana mwachie mwenzio aweke condom kwenye gari ama umpe awe huru nazo..unajua nimerealize wanaume wengi wanapenda kuvaa lakini ile hali ya kwanza ndio inawaumiza wengi wanashikwa na haya ya kuuliza mhudumu na kuishia liwalo na liwe...haya ndio inawaua bora mtu kama unajijua tembea nazo ama vaa kama washikaji hapo juu wanaenda kutongoza wakiwa na full FIRSTAID
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom