Msitongozane usiku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msitongozane usiku

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 25, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,589
  Likes Received: 5,773
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  ukizoe kutongoza usiku uwezi elewa nilichosema;;soln
  acha mpende mwenzio kama ni kutongozana tongozaneni mkiwa mchana kweupe....kwa kukusaidi huyu bana alikutana na binti usku akapenda.akachukua namba keshoye alipomwona akachomoa si yeye na hapo
  else tumwombe kikwete msada wa elimu ya bure
   
 2. K

  Kibomu Member

  #2
  Nov 25, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tena kweli sometimes usiku inawezekana jamaa lina mzigo mkubwa wa chini, sasa gizania utajuwaje, likiushusha utakimbia na kusahau chuuu.....p
   
 3. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi hakili yangu naijua sio mgando kabsaaa mh lakini ndugu hii story yako sijaielewa kabsaaa yani haieleweki nini tena unajaribu kuelezea nini eti, siajambua hata moja. JESUS IS MY HOME BOY.
   
 4. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  ukome !!!!!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,589
  Likes Received: 5,773
  Trophy Points: 280

  ukizoe kutongoza usiku uwezi elewa nilichosema;;soln
  acha mpende mwenzio kama ni kutongozana tongozaneni mkiwa mchana kweupe....kwa kukusaidi huyu bana alikutana na binti usku akapenda.akachukua namba keshoye alipomwona akachomoa si yeye na hapo
  else tumwombe kikwete msada wa elimu ya bure
   
 6. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ooh hapa sasa nimekupata, maelezo mafupi bt nimeyaelewa zaidi. Thanx.
   
 7. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Hakieleweki kitu mpwa..
  Tatiozo ni nini?
  Bia za Rose Garden au ??
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Nov 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Ingawa stori nzima ni rambe lakini ina fundisho zuri sana. Kutongoza usiku hasa kwenye clubs si jambo ambalo nitamshauri mtu afanye. Na kwa bongo watu washukuru hakuna ma transexual wengi la sivyo jinsi kulivyo na ma utitiri ya baa watu lazima wangekuwa washaingia mkenge. It's spooky.
   
 9. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,018
  Trophy Points: 280
  ...bia za offer
   
 10. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  sijakuelewa kamanda. Nadhani inabidi story ui-edit
   
 11. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kwakweli naungana nawewe.second part na third part hawaeleweki kama yupi ni yupi...
   
 12. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  edit kidogo stori inaonekana ni nzuri
   
 13. Edgartz

  Edgartz JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2010
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umenikumbusha mbali sana mkuu juzi kati kunajamaa yangu alitongoza demu kizani mara wakakubaliana jamaa akamchukua yule demu hadi kwake alipowasha taa kumwangalia yule demu kakondeana alifu anavipele jamaa akanibeep baada ya kumpigia me nashangaa ananiambia nakuja sasa hivi akamwambia yule demu twendezetu tutarudi tena kunajamaa ananiita walipotoka jamaa ndo ikawa pona pona yake!
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,589
  Likes Received: 5,773
  Trophy Points: 280
  we unasemea hiyo kuna mshikaji alikuwa akifanya kazi kwa ndege si unajua usiku mambo ya nyt stop akachukua mzigo kia asubuhi anaa mka ikabidi auamshe mapema uwahi wenzake wasiuone jamaa alikuwa na mazoea ya kupiga gizani.jamaa alipoamka akiwa na akili timamu lohhh akakuta demu mabaka matupu nyuma mbele...akamkimbiza bila hata kuoga alipokuwa angan akapiga kama ameniua mimi basi yaani alivyoonekana mzuri...mungu amrehemu sasa ni marehemu wote wawili...hatari ndio maana kuna marafiki zangu wawili siwalaumu lakini wao huwa wanajijua udhaifu wakiwa wanatongoza wanavaa kabisa kikieleweka awaitaji shida..unajua kinachowaua wengi ni ile tamaa ya goli la kwanza na ndio maana angalia wengi wakichukua comond 3 ukikuta moja imetumika basi kapigwa mbili huyo ukikuta mbili zimelowa kapigwa tatu..so kama unajijua vaa mapema mkiingia unaingia....usiwe kwenye lile kundi ati anampiga game ya kwanza kavu ya pili unavaa mondoc ya nini endelea kula urojo ukukule
   
 15. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kuokota okota kutawaponza wengi,sasa inamaana huyo dada alikua kavaa miguo mingi hadi jamaa yako ashindwe kumuona alivyokonda hadi wafike chumbani ndo amuone au?maana mtu aliyekondeana hadi usoni unamuona tu.anyways,kaka zetu kuweni makini tunawahitaji.
   
 16. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ooh so sad, mtu kufa kwa uzembe wa tamaa zake mungu amlaze mahala pema maskini.
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,589
  Likes Received: 5,773
  Trophy Points: 280
  m nahisi wanandoa kama mnajuana mwachie mwenzio aweke condom kwenye gari ama umpe awe huru nazo..unajua nimerealize wanaume wengi wanapenda kuvaa lakini ile hali ya kwanza ndio inawaumiza wengi wanashikwa na haya ya kuuliza mhudumu na kuishia liwalo na liwe...haya ndio inawaua bora mtu kama unajijua tembea nazo ama vaa kama washikaji hapo juu wanaenda kutongoza wakiwa na full FIRSTAID
   
Loading...