Wewe amini sayansi yako hakuna aliyekukatazaKwenye zama za Sayansi na teknolojia,hayo matakataka ya utabiri unaonekana punguani tu,
Bado unaishi kwenye fikra za zama za Mawe,
Hata kama Chelsea atafungwa kweli basi sababu haiwezi kua ni huo upuuzi uliouandika hapa.
Anamuuaje sasa🤣🤣🤣🤣🤣Chelsea anamuua man city mapema tu mtoa mada kama umebet muhindi kala hela yako kiuraini
Chelsea kashakufa anafata YangaNazitakia ushindi mnono timu zangu pendwa za Yanga na Chelsea.
ChelseaUnazungumzia chelsea ipi? Tusubiri dakika90
Haya bhana ChiefChief we ni zaidi ya tambi tambi
Kongole kwako
Mimi Leo nawatoa kafara Manchester United ili simba ashinde..
Ukiona man u kafa basi simba kashinda
Nilikuwa naizungumzia hii tuliyoiona leo! Man city wamewafanyia total dominance, they controlled the game from beginning to the endUnazungumzia chelsea ipi? Tusubiri dakika90
Tupe mwongozoSikiliza wewe sisi ndio wataalam
Unazungumzia chelsea ipi? Tusubiri dakika90
Hii kafara yako japo umechelewa kuitoa ila naiunga mkono.Chief we ni zaidi ya tambi tambi
Kongole kwako
Mimi Leo nawatoa kafara Manchester United ili simba ashinde..
Ukiona man u kafa basi simba kashinda
Chelsea kashakufa anafata Yanga
Ushirikina upoKutokana na tarehe ya leo kuwa haigawanyiki kwa mbili kama ambavyo herufi ya mwanzo ya timu ya Man City haigawanyiki kwa mbili, basi nyota ya Man City leo inang'aa sana na ikichagizwa na muda wa mchezo kuwa ni saa sita na nusu kwa saa za Uingereza basi leo Man City hatofungwa na Chelsea.
Hivyo wadau wa kubet muwe na angalizo kwenye mikeka yenu, msimpe ushindi Chelsea, ni hayo tu