Msitarajie Chelsea kumfunga Man City leo

Rapa Gentamycine

JF-Expert Member
May 20, 2017
300
1,000
Kwenye zama za Sayansi na teknolojia,hayo matakataka ya utabiri unaonekana punguani tu,

Bado unaishi kwenye fikra za zama za Mawe,

Hata kama Chelsea atafungwa kweli basi sababu haiwezi kua ni huo upuuzi uliouandika hapa.
Wewe amini sayansi yako hakuna aliyekukataza
 

Zidani

JF-Expert Member
Apr 5, 2021
973
1,000
Unazungumzia chelsea ipi? Tusubiri dakika90
Screenshot_2021-09-25-16-26-22-50_d29973efd0ded056752aedcf6cbf62ac.jpg
Yani hakuna shots on/off hata moja aisee pep aliwapania si mchezo.
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
7,610
2,000
Chief we ni zaidi ya tambi tambi

Kongole kwako


Mimi Leo nawatoa kafara Manchester United ili simba ashinde..

Ukiona man u kafa basi simba kashinda
Hii kafara yako japo umechelewa kuitoa ila naiunga mkono.
 

ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
14,980
2,000
Kutokana na tarehe ya leo kuwa haigawanyiki kwa mbili kama ambavyo herufi ya mwanzo ya timu ya Man City haigawanyiki kwa mbili, basi nyota ya Man City leo inang'aa sana na ikichagizwa na muda wa mchezo kuwa ni saa sita na nusu kwa saa za Uingereza basi leo Man City hatofungwa na Chelsea.

Hivyo wadau wa kubet muwe na angalizo kwenye mikeka yenu, msimpe ushindi Chelsea, ni hayo tu
Ushirikina upo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom