Kuna huu utaratibu Wa kunuia/ au kushuhudia jambo ambalo Mungu kakujalia makanisani!
Ni jambo Jena sana kushukuru; lakini katika kushukuru kuweni na staha katika kufikisha shukrani zenu Kwa Mungu mbele ya waumini wenzenu!!!
Mtu anaandika ushuhuda usomwe kanisani "MIMI MAMA FULANI (JINA) NAMSHUKURU MUNGU KWA MME WANGU BABA FULANI(JINA) KWA KUACHA UMALA*YA "
*******************
Lengo la ushuhuda ni kumtukuza Mungu; unapotaja jina la mtu unakuwa kama unamzalilisha.
Baadhi ya nia za misa msiwe mnataja majina; BORA MUANDIKE IMEOMBWA NA MUUMINI MMOJA! Mungu atajua tu!