Msishangae wakaibua wanachama fake wa ACT watakaopinga ujio wa Maalim Seif katika chama cha ACT Wazlendo

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Baada ya Maalim Seif kujito CUF na kujiunga ACT,msishangae kuona linaibuka kundi wa watu wataojitta ni wanachama wa ACT ambao watakuja na agenda ya kupinga Maalim Seif kuhamia ACT.

Msishangae pia kuona baadhi ya wanachama halali wa ACT wakitumika kufanikisha jambo kama hili na wanaweza kuandamana bila virungu wala maji ya washawaha.

Mzee wa chuki na visasi hawezi kuacha asili.
 
Back
Top Bottom