Msisahau kurudisha saa nyuma

Status
Not open for further replies.

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,011
mlioko North America :)

Heart attack risk shifted by daylight saving time

Thursday Oct 30, 2008

By Gene Emery

BOSTON (Reuters Life!) - Clocks spring ahead and fall back when adjusting in and out of daylight saving time. A study published on Wednesday finds that heart attack rates do the same.

The research, based on heart attacks in Sweden, concluded that the chance of a heart attack goes up during the first three weekdays after the springtime shift to daylight saving time, possibly because of sleep deprivation.

But on the autumn Monday after clocks go back and people can get an extra hour of shuteye, the heart attack risk declines.

"Our data suggest that vulnerable people might benefit from avoiding sudden changes in their biologic rhythms," said Drs. Imre Janszky of the Karolinska Institute and Rickard Ljung of the National Board of Health and Welfare, both in Stockholm.

In a letter to the New England Journal of Medicine, they said the culprit may be the one hour of sleep lost in the spring, when the clocks are shifted ahead.

"The earlier wake-up times on the first workday of the week and the consequent minor sleep deprivation can be hypothesized to have an adverse cardiovascular effect on some people. This effect would be less pronounced with the transition out of daylight saving time, since it allows for additional sleep," they wrote.

The protective effect in the fall may last for just one day because, "Monday is the day when most of us will use this extra hour," Janszky said by e-mail.

During the shift to daylight saving time, women seemed more vulnerable to heart attacks than men. Men were more likely to be protected during the Monday in the autumn, the researchers said.

They also found that the effect was more pronounced in people under age 65.

Janszky said younger people may be affected more because they tend to be working and their schedules are not as flexible.

"Retired people are more independent from the official time," the researcher said.

More than 1.5 billion people worldwide live in countries that use daylight saving time.

© Thomson Reuters 2008 All rights reserved
 
Wabongo mmesikia...msisahau kurudisha saa nyuma.....

Ha ha ha ha ha ha :) :) :D

that one cracked me up....... lol, watu wanajisahau kuwa kuna watu wengine wako ukanda wa ikweta.

Bubu, ingekuwa vizuri kweli kama ungewataarifu watu kwenye title moja kwa moja hilo tangazo linahusu watu waliowapi... lakini sasa hivi, hata mtu aliyeko Tandahimba au Ibadakuli itabidi alisome tu... lol
 
Ulaya walibadili ljumapili iliyopita (sijui kama ni bara zima).
 
Ha ha ha ha ha ha :) :) :D

that one cracked me up....... lol, watu wanajisahau kuwa kuna watu wengine wako ukanda wa ikweta.

Bubu, ingekuwa vizuri kweli kama ungewataarifu watu kwenye title moja kwa moja hilo tangazo linahusu watu waliowapi... lakini sasa hivi, hata mtu aliyeko Tandahimba au Ibadakuli itabidi alisome tu... lol

SD, Tangu lini Tandahimba, ibadakuli, Namabengo, Peramiho au bomba mbili wakarudisha saa nyuma? :) nadhani wanaohusika wanajiju :)
 
SD, Tangu lini Tandahimba, ibadakuli, Namabengo, Peramiho au bomba mbili wakarudisha saa nyuma? :) nadhani wanaohusika wanajiju :)

Sawa mkuu, lakini kwa kweli katika hiyo title kama ilivyo sasa hivi mtu akisoma anaweza akafikiri labda waliotunga dakika, masaa na sekunde wameamua kubadilisha muda wa dunia yote......

.....na hii yaweza kusababishwa na dunia kuchomoka kutoka kwenye orbit yake kutokana na majaribio ya kulipua silaha za nyuklia kwenye tabaka la chini kabisa la ardhi ya dunia yaliyofanyika huko Uchina, Korea ya Kusini na Iran, hivyo kufanya dunia kusogea mbali zaidi kutoka kwenye jua na hivyo kuchukua muda mrefu kujizungusha ikiwa imetanuka ndani kwa ndani, ncha zake za kusini na kaskazini kubadilishana usumaku na muda kusogea nyuma.

.....au, yawezekana atomic clock mpya imegunduliwa huko Chechniya na kupelekwa Greenwich amako wataalam wa masaa wamejikita na saa hiyo imeonesha mapungufu katika calibration za muda zilizopo sasa hivi. hivo kuna saa moja zima lilikuwa mbele na linabidi kurudishwa........ :) :) have a good weekend!!
 
Haya mkuu nimekusikia :) Weekend njema na kwako pia.
 
Ha ha ha ha ha ha :) :) :D

that one cracked me up....... lol, watu wanajisahau kuwa kuna watu wengine wako ukanda wa ikweta.

Bubu, ingekuwa vizuri kweli kama ungewataarifu watu kwenye title moja kwa moja hilo tangazo linahusu watu waliowapi... lakini sasa hivi, hata mtu aliyeko Tandahimba au Ibadakuli itabidi alisome tu... lol

kwani huko nako kuna internet??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom