Msipotoshwe na Semina Za Ujasirimali. Ingieni Wenyewe Mujionee

Najifunza mwenyewe, kupitia YouTube, na elimika vizur tu.
Kama una uwezo huo wa Youtube ... shukuru Mungu; wapo wengine hata hiyo Youtube hawajui ni kitu gani. Asilimia 66 ya watanzania wanamiliki simu za mkononi lakini ni asilimia 26 tu wenye uwezo wa kupata access ya internet. Kama hujui hilo .. FUNGUKA KIJANA ACHA UJINGA
 
Mtu anakufundisha ujasiria mali, jinsi ya kutafuta hela wakati ndugu zake wapo tu mtaani tunaganga nao njaa

Ukiwa na mke wako akisha anza kuhudhuria hizi semina sijui na warsha, hehe...

Kwa ruksa ya nan aende huko?
 
Ila hawasemi ukweli kuhusu namna walivyotoka kimaisha. Kuna makando kando mengi kwenye hizo fursa ambayo hawataji kabisa, kwa kujua kwamba wateja wao wa mafunzo watakata tamaa. By the way wana msaada sana, siwabezi.
Yaani kama zile fix za Nzee Nengi tu
Ooooh nilikuwa bslala chini
Na blsh blah !!!

Kumbe abataks tu kuvutia watu kisha auze kitabu
 
Kama una uwezo huo wa Youtube ... shukuru Mungu; wapo wengine hata hiyo Youtube hawajui ni kitu gani. Asilimia 66 ya watanzania wanamiliki simu za mkononi lakini ni asilimia 26 tu wenye uwezo wa kupata access ya internet. Kama hujui hilo .. FUNGUKA KIJANA ACHA UJINGA

Mwanzo haukunielewa ukanitusi na bado umenitusi ,kuwa mpole tuelimishane Mkuu.

Naamaanisha n vizur zaid ukafundishwa Ujasiriamali na mjasiriamali na sio mtu aliye kariri kariri tu vivo hiyvo kwenye kilimo
 
Najifunza mwenyewe, kupitia YouTube, na elimika vizur tu.
Je kila mtu ana access na hiyo YouTube??? Sometimes muwage mnawaza kwa kutumia ubongo basi na sio makalio.... Wewe unajiongelea binafsi una access ya Internet na suppose na elimu elimu ya hapa na pale, how many illiterates are there in Tanzania?!

There are millions of illiterates here in Tanzania na wanahitaji mafunzo pamoja na elimu stahiki, sio wote wanawaza ku afford kwenda kwenye hizi vocational trainings, so through seminars, trainings and workshops they gain a lot. Kwako ambaye una uelewa pamoja na elimu utaona ni total wastage of time but unapoongelea swala nyeti linalogusa watu wengi epuka kutumia neno "mimi nita...." instead waza "tuta...." ndipo utaona a big picture
 
Mwanzo haukunielewa ukanitusi na bado umenitusi ,kuwa mpole tuelimishane Mkuu.

Naamaanisha n vizur zaid ukafundishwa Ujasiriamali na mjasiriamali na sio mtu aliye kariri kariri tu vivo hiyvo kwenye kilimo
Mkuu Hv unanufaika na nini unapomkera mtu asiyetaka kukukera wewe ? Hv unadhan unamshushia heshma yeye? Tupo hapa kuelimishana, Tena zaid na zaid unasema we n mtoa semina ningetarajia umweleze vzr ups and downs lakn unamwita Mjinga, its not fair kwa kweli, inahtaj mtu mwenye courage kama yeye kutoamua ku hit back. Hata huko kwenye Semina mtu asipokubaliana na wewe hupaswi kumwita mjinga, Kua muungwana wa kukubali kutokubaliana. Nisamehe kama nimekukwaza
Pasipo kuambiwa utajuaje? acha ujinga wewe!

Kama una uwezo huo wa Youtube ... shukuru Mungu; wapo wengine hata hiyo Youtube hawajui ni kitu gani. Asilimia 66 ya watanzania wanamiliki simu za mkononi lakini ni asilimia 26 tu wenye uwezo wa kupata access ya internet. Kama hujui hilo .. FUNGUKA KIJANA ACHA UJINGA
 
Habari zenu Wakuu..

Kumekuwa na makusanyiko ya Semina Mbalimbali hasa kipindi cha Kikwete na Kumeibuka washauri kibao wa Kipindi hicho ,semina Hizi zikiwa zinawataka Wahudhuriaji Kujikwamua Katika Lindi la umaskini na Wapate kipato zaidi ya Cha Ajira yao au wale wasio na Ajira Waweze kujikwamua from Scratch..

Ila Ukweli Huu hapa.
1. Semina Hizi Zimekaa Kuingizia Watu Pesa hasa wale waliofanikiwa Miaka ya, 80 mpaka 90 na wengi Inawezekana wamepitia Njia za Panya Wakakwapua Pesa Nyingi Halafu Leo hii anakuja Kukufundisha Ujasiriamali Mtu wa Kawaida Kwa Njia Za Halali.
Wengi wao wanadhani Miaka Ile ya Ujinga na Watu kutokusoma Ni sawa na Sasa Hivi Ambapo watu kibao wamesoma Na Wanajua Biashara . Zamani Ukipata Pesa Unaweza ukawa na Usafiri wewe Mwenyewe Kijiji Kizima ,ukifungua Duka Kijiji Kizima Kinakuja Kununua Kwako... Ukianzisha Redio makampuni yote yanakuja Kuleta Matangazo kwako, halafu leo hii mtu huyo anakuja Kuanzisha Semina Anawaambia Watu waanze Kidogo Kidogo kuanzisha Biashara amesahau Huu ni mwaka 2018 ... Opportunity zinahitaji kujitoa sana na Pesa Sana Ili ubaki Kwenye Line.. hata Kilimo cha Sasa ambapo ni cha Kisasa Kinahitaji si chini ya mamillioni kukianzisha

2. Changamoto ya Maeneo
Upatikanaji wa Maji.. hali ya Hewa ,usafiri n.k zinatofautiana Mikoa na Mikoa...Kuna Watu wanatoka Dar wanaenda Kufundisha Watu wa Dodoma Semina... Hawajui Dodoma Changamoto zao ni Nini na Shida Ni Nini hasa. Wao wanaenda Kufundhisha semina kwa Maelezo yale yale kama Wapo Dar .. yaani wanachukulia Maeneo ya Mikoani ni sawa Na Dar... Kitu ambacho mjasiriamali akija Kuanzisha Anajukuta Maeangukia Pua. Changamoto kibao kuliko maelezo aliyopewa na Gharama kubwa

3. Kilimo na Ufugaji Ufundishwe na Mfugaji au mkulima hasa wa Eneo ulilopo,kama Upo Katoro huko fundishwa Na Mkulima Wa Katoro au Mfugaji wa Katoro. si hawa Wanaojifanya Wataalam na wanajiandikia Vijitabu vya Ujasiriamali na kupata Pesa Chap... Wengi wao hawajui hata Mbolea zinauzwaje.

4. Ingia Mchezoni Mwenyewe
Kuna Watu wakishatoka Kwenye Semina Hizo Wanaingia Kichwa kichwa Kwenye Ujasiriamali wakiwa na Mawazo ya Kutoka Fasta Fasta. Kinachokuja kuwatokea ni kuwa na Madeni na Hasara Juu.. ... Biashara yeyote ile Lazima Ngoma Uicheze Mwenyewe ili uone unaweza Ukaambiwa kuku wanachanganyiwa Chakula Hivi na vile wanaanza Kutaga Baada ya Muda Fulani ila Ww ukaingia Ikawa kinyume na Umefuata Vile vile...

Ni hayo tu
Acha kupotosha watu wewe..!
 
Je kila mtu ana access na hiyo YouTube??? Sometimes muwage mnawaza kwa kutumia ubongo basi na sio makalio.... Wewe unajiongelea binafsi una access ya Internet na suppose na elimu elimu ya hapa na pale, how many illiterates are there in Tanzania?!

There are millions of illiterates here in Tanzania na wanahitaji mafunzo pamoja na elimu stahiki, sio wote wanawaza ku afford kwenda kwenye hizi vocational trainings, so through seminars, trainings and workshops they gain a lot. Kwako ambaye una uelewa pamoja na elimu utaona ni total wastage of time but unapoongelea swala nyeti linalogusa watu wengi epuka kutumia neno "mimi nita...." instead waza "tuta...." ndipo utaona a big picture

Huenda wewe ni mhusika wa utoaji wa hizo semina na workshop mbalimbali ndo maana unatokwa na povu sana Mkuu .

Get my point, nahimiza watoaji wa semina wawe wanatoa elimu wanayoiishi, sio mtu anakuambia fuga kuku, lima nyanya mara fanya kilimo cha ubunifi, utafankiwa akati yeye hafanyi hivo zaid ya blaa zake za mdomoni

Ni kweli Watanzania wengi hawana access na internet na kama wana access na internet wanakuwa na changamoto ya bundle, ndo maana nikajisemea mm kama mimi (mm sio mbinafsi kama unavodhani)

Elimu toeni ambayo mnayoiishi ,sio kuwapa watu elimu ambayo hamjawahi kuifanyia practical.
 
Mkuu Hv unanufaika na nini unapomkera mtu asiyetaka kukukera wewe ? Hv unadhan unamshushia heshma yeye? Tupo hapa kuelimishana, Tena zaid na zaid unasema we n mtoa semina ningetarajia umweleze vzr ups and downs lakn unamwita Mjinga, its not fair kwa kweli, inahtaj mtu mwenye courage kama yeye kutoamua ku hit back. Hata huko kwenye Semina mtu asipokubaliana na wewe hupaswi kumwita mjinga, Kua muungwana wa kukubali kutokubaliana. Nisamehe kama nimekukwaza

Huenda n mhusika wa hizo semina ndo maana anatokwa na povu sana

Hatuko hapa kutukanana, kila mtu anayajua matusi vema kabisa

Mhimu tupeane elimu huku tukiheshimiana
 
Kwa sasa..kuna mambo mengi mtandaoni.
Mtu ana smartphone.... Anashindwa kutafuta formula ya kuteneneza sabuni....hadi askie mahala pa kulipia ndo ataenda...huuu Ni *UZEMBE*
Kuna dada mmoja anajifanya mjanja saaaana....lkn anajiunga kwenye makundi ya wasapu ya kulipia..Kw ajili ya mafunzo.....ukiona video wanazowekewa sasa....video 1 ni mb 80...ikipungua sana Ni mb40 halafu Ni za dk 5....6.
Nikamwambia kwann usije YouTube.... Mbona yoye haya yapo tena kwa upana Na kwa being cheese....video ya mb 8 inaeleza vizuri tuu.....

Popote ulipo pata kinywaji nalipa.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Semina nyingi za NAMNA YA KUFANYA BIASHARA hazina tija.. Hasa mtoa Mada awe hajawahi uza hata maji ya kandoro. Wanaongea as if biashara it's simple unateleza tu...mnawapa watu expectations Kubwa sio reality. Mtu akifika kwenye biashara anakutana na challenge nyingi face to face Kama kuibiwa ,kuzulumiwa, wafanyakazi, working capital inapotea , loss etc mengi then after one tu year anafunga biashara. Nina mifano mingi Sana ktk hili.. Hii haimaanishi seminar ni mbaya Bali aina za seminar ndio mbovu. Mimi binafsi napenda kuwasikiliza motivation speaker waliofanya biashara na wanaofanya hata most quote zao zina make sense.. Ujasiriamali ni vitendo sio bla blaa sijui ntachukua hapa niweke hapa nipate milioni sijui matakataka gani..

Point sana umenena Mkuu
 
Semina nyingi za NAMNA YA KUFANYA BIASHARA hazina tija.. Hasa mtoa Mada awe hajawahi uza hata maji ya kandoro. Wanaongea as if biashara it's simple unateleza tu...mnawapa watu expectations Kubwa sio reality. Mtu akifika kwenye biashara anakutana na challenge nyingi face to face Kama kuibiwa ,kuzulumiwa, wafanyakazi, working capital inapotea , loss etc mengi then after one tu year anafunga biashara. Nina mifano mingi Sana ktk hili.. Hii haimaanishi seminar ni mbaya Bali aina za seminar ndio mbovu. Mimi binafsi napenda kuwasikiliza motivation speaker waliofanya biashara na wanaofanya hata most quote zao zina make sense.. Ujasiriamali ni vitendo sio bla blaa sijui ntachukua hapa niweke hapa nipate milioni sijui matakataka gani..

Point sana umenena Mkuu
 
Habari zenu Wakuu..

Kumekuwa na makusanyiko ya Semina Mbalimbali hasa kipindi cha Kikwete na Kumeibuka washauri kibao wa Kipindi hicho ,semina Hizi zikiwa zinawataka Wahudhuriaji Kujikwamua Katika Lindi la umaskini na Wapate kipato zaidi ya Cha Ajira yao au wale wasio na Ajira Waweze kujikwamua from Scratch..

Ila Ukweli Huu hapa.
1. Semina Hizi Zimekaa Kuingizia Watu Pesa hasa wale waliofanikiwa Miaka ya, 80 mpaka 90 na wengi Inawezekana wamepitia Njia za Panya Wakakwapua Pesa Nyingi Halafu Leo hii anakuja Kukufundisha Ujasiriamali Mtu wa Kawaida Kwa Njia Za Halali.
Wengi wao wanadhani Miaka Ile ya Ujinga na Watu kutokusoma Ni sawa na Sasa Hivi Ambapo watu kibao wamesoma Na Wanajua Biashara . Zamani Ukipata Pesa Unaweza ukawa na Usafiri wewe Mwenyewe Kijiji Kizima ,ukifungua Duka Kijiji Kizima Kinakuja Kununua Kwako... Ukianzisha Redio makampuni yote yanakuja Kuleta Matangazo kwako, halafu leo hii mtu huyo anakuja Kuanzisha Semina Anawaambia Watu waanze Kidogo Kidogo kuanzisha Biashara amesahau Huu ni mwaka 2018 ... Opportunity zinahitaji kujitoa sana na Pesa Sana Ili ubaki Kwenye Line.. hata Kilimo cha Sasa ambapo ni cha Kisasa Kinahitaji si chini ya mamillioni kukianzisha

2. Changamoto ya Maeneo
Upatikanaji wa Maji.. hali ya Hewa ,usafiri n.k zinatofautiana Mikoa na Mikoa...Kuna Watu wanatoka Dar wanaenda Kufundisha Watu wa Dodoma Semina... Hawajui Dodoma Changamoto zao ni Nini na Shida Ni Nini hasa. Wao wanaenda Kufundhisha semina kwa Maelezo yale yale kama Wapo Dar .. yaani wanachukulia Maeneo ya Mikoani ni sawa Na Dar... Kitu ambacho mjasiriamali akija Kuanzisha Anajukuta Maeangukia Pua. Changamoto kibao kuliko maelezo aliyopewa na Gharama kubwa

3. Kilimo na Ufugaji Ufundishwe na Mfugaji au mkulima hasa wa Eneo ulilopo,kama Upo Katoro huko fundishwa Na Mkulima Wa Katoro au Mfugaji wa Katoro. si hawa Wanaojifanya Wataalam na wanajiandikia Vijitabu vya Ujasiriamali na kupata Pesa Chap... Wengi wao hawajui hata Mbolea zinauzwaje.

4. Ingia Mchezoni Mwenyewe
Kuna Watu wakishatoka Kwenye Semina Hizo Wanaingia Kichwa kichwa Kwenye Ujasiriamali wakiwa na Mawazo ya Kutoka Fasta Fasta. Kinachokuja kuwatokea ni kuwa na Madeni na Hasara Juu.. ... Biashara yeyote ile Lazima Ngoma Uicheze Mwenyewe ili uone unaweza Ukaambiwa kuku wanachanganyiwa Chakula Hivi na vile wanaanza Kutaga Baada ya Muda Fulani ila Ww ukaingia Ikawa kinyume na Umefuata Vile vile...

Ni hayo tu
Nikikumbuka jamaa yangu alivyonipeleka kwenye semina ya Qnet,daaah nilijiona mjinga sana....
 
Huenda wewe ni mhusika wa utoaji wa hizo semina na workshop mbalimbali ndo maana unatokwa na povu sana Mkuu .

Get my point, nahimiza watoaji wa semina wawe wanatoa elimu wanayoiishi, sio mtu anakuambia fuga kuku, lima nyanya mara fanya kilimo cha ubunifi, utafankiwa akati yeye hafanyi hivo zaid ya blaa zake za mdomoni

Ni kweli Watanzania wengi hawana access na internet na kama wana access na internet wanakuwa na changamoto ya bundle, ndo maana nikajisemea mm kama mimi (mm sio mbinafsi kama unavodhani)

Elimu toeni ambayo mnayoiishi ,sio kuwapa watu elimu ambayo hamjawahi kuifanyia practical.
Nikuulize a very simple question ndugu

Je hawa maafisa kilimo wa kata, wilaya na mkoa, afisa mifugo, afisa uvuvi wa ngazi zote je wanapokwenda kushauri na kusimamia shughuli hizo wao wanakua wana mashamba yao wanalima, mifugo yao wanafuga, mabwawa yao wanavuna samaki?!

Your logic is very poor utanisamehe ila kumshauri mtu sio lazima uwe umepitia huko au unafanya hicho. Ingekua hivyo basi tungekua bado enzi za ujima hamna haja ya doctor maana hajawahi kuumwa magonjwa yote so hawezi kukushauri dawa ya kutumia

Think outside the box my friend, not all things require what you think

Ova
 
Watu kama nyie ni changamoto sana kwenye jamii yetu , Mna maneno maneno ya wizi tu hamna jipya ,Fanya kazi acha wizi wa mdomo

Maafisa kilimo na wenyewe wanapaswa wayaishi maisha ya taaluma yao, sio kukaa ofisini na kutoka siku moja moja kuja kutoa ushauri ambao hawauishi hata wao

Udaktari ni masuala ya afya zetu kwahiyo usichangaye mambo, usilete mfano mgongano hapa. Tunazungumzia visemina mnavyoendesha endesha kwa lengo la kujipatia chochote huku mkiwaeleza wahudhuriaji wenu mbinu za kujikwamua kiuchumi ambazo nyinyi hamzitumi.

Kuna msemo unasema washauri wazur ndo huwaga na matatzo mengi sana. Huenda wewe ni miongoni mwao. Kuna mmoja akaenda mbali akasema watoaji wengi wa ushauri hawawezagi kutumia ushauri huo wenyewe yanapowakuta wao. Yaan wewe ni miongoni mwa watu wasio faid mawazo yao, unakuwa kama katapila bana, badilika mkuu. Toa semina ya ujasiriamali wa maisha ya ujasiriamali unaouishi.

Mm napenda kujifunza sana kwa watu lakini sijajifunza chochote kutoka kwako zaid ya kukwazika na kejeli na matusi yako ya hapa na pale , ila naamini wewe umejifunza kitu kwangu.

Jitahidi sana ufundishe ujasiriamali unaouishi na sio blaa blaa tu Ndugu

Unapaniki kwa kuwa ndo mambo yako ya kuwaibia watu kwa blaa za ujasiriamali na kilimo cha ubunifu akati hauyaishi maisha hayo.

Wewe endelea na hao type zako unao waambia blaa blaa zako usizoziishi ila kwangu NO.
 
Kama una uwezo huo wa Youtube ... shukuru Mungu; wapo wengine hata hiyo Youtube hawajui ni kitu gani. Asilimia 66 ya watanzania wanamiliki simu za mkononi lakini ni asilimia 26 tu wenye uwezo wa kupata access ya internet. Kama hujui hilo .. FUNGUKA KIJANA ACHA UJINGA
Endeleeni kula za hao wajinga
 
Back
Top Bottom