Msione watu wanafanya vizuri...ni bidii tu

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,142
15,130
10342908_323224414492724_6760075611401565787_n.jpg
 
Dana dana hapo sio pahala pake hapo inatakiwa dana dana nyingine si unaona hata jamaa kapuuzia anabadili channel tu
 
Dana dana hapo sio pahala pake hapo inatakiwa dana dana nyingine si unaona hata jamaa kapuuzia anabadili channel tu
Nadhani Ronaldo kabla ya kufanya chochote lazma apashe kwa danadana...akimaliza hapo anaendelea na mengine
 
Hapa anatafuta sababu tu apokonywe mpira apate kukandamiza papuchi si unajua wenzetu gemu huanza maandalizi
 
mpira ni ajira. hapo anafanya homework kama nyie wa maofisini mnavyofanya kazi zenu za viporo kwenye kompyuta zenu mkiwa nyumbani
 
Hicho chumba 3 in 1....sebuli humo humo,chumba humo humo na meza ya kulia ileeee.....
 
Ooyooo ni kweli kabisa kazi kwa bidii na maisha huwa safi huko majuu lakini hapa palipo vunjika jembe na kubaki mpini siyo bongo ni ubazazi na umagumashi na mezengwe na maujanja tu ndio manufaa yetu na mpaka uzee ni ulofa tuj
 
Back
Top Bottom