Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,350
kuna kidada flani kinasoma mwl nyerere university kinasomea mambo ya gender sijui nani alikidanganya maskini eti watu wa gender wanatafutwa sana na salary ni 4m khaaa nikakaangaliaaa, yaani kana kazi kubwa sana mbele yake, kwanza najua hakajui interview ni nini, halafu kwenye vacancy sijui mnisaidie km mmeona hizo post. Kingine nakaonea huruma maana toka kamekuja mjini kanalala na kila mwanaume kakitafuta pesa kamaweza hata kasifikie hata kupata kazi kakawa kameathirika. Nakasubiri kamalize chuo nione hiyo kazi ya 4m itakakopatikana.