Msinione Napotea na Kuadimika hivi... Kibarua Kipya Nilichopata... Mmmmhhhmmm! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msinione Napotea na Kuadimika hivi... Kibarua Kipya Nilichopata... Mmmmhhhmmm!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by gambachovu, Jun 15, 2012.

 1. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ninafanya kazi majini katikati ya Mto Ruvuma, na tena ni takribani Kilometa 25 kutoka usawa wa bahari! Naishi huko, ila wakati wa w/ends ndo kidogo tena J'pili tu,naruhusiwa kwa kuwa ni siku ya ibada kwa imani yangu niliyonayo.. Vinginevyo ni SAMAKI na mimi ,mimi na SAMAKI... MAMBA na mimi,mimi na MAMBA jamani....

  Ingawa nalipwa kwa dolare za Kimerekani lakini nakosa mengi ya kijamii.. Likizo hakuna,unalazimishwa uiuze.. Nilimuaga rafiki yangu Konnie wakati naondoka,akanitakia kila la heri.. Nina marafiki zangu wengi sana humu chit chat..sitaweza kuwataja wote,maana nitamtaja huyu na kumwacha yule..

  Hata mentor wangu Lizzy naye sikuwahi kumuaga.. Mashemeji zangu ni wengi na ndugu zangu ni wengi ndani ya chit chat.. Nomba msikitike pamoja nami kwani miezi ya mwanzo nilidhoofu kwani chakula ni ''River Food'' mwanzo hadi mwisho.. kwa hiyo nilikondeana kama mgonjwa wa Hepatitis A,B,C,na D...! Ila sasa hivi nimeanza kugain... Ila usingizi wangu ni wa taabu..

  Leo nimeonelea nitoroke kwani mabosi wangu wameenda kwa Helikopta ,sijui ni Kigoma sijui ni wapi penye Mto Malagarasi yalipo makao makuu ya kampuni hii ya Wathailand... Baadeni jamani..

  By Gee Cee LOVE YOU ALL
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,320
  Likes Received: 2,299
  Trophy Points: 280
  Uwe makini usije kugeuka ukawa samaki
   
 3. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nitajitahidi kuwa hewani kwa kadiri nitakavyoweza siku ya leo....

  Ila namiss vingi ndani ya JF, namiss michango ya harusi, namiiss hata magazeti ya udaku,namiss hadi yale maji ya rangi ya mende,namiss hata mikanda ya vikatuni ambayo mi hupendelea sana..

  Namiss kitanda changu.. Namiss hadi kuwaonaona kina dada maana hata hiyo Jpili yenyewe napewa masaa tu! Namiss hadi ugoro niliyokuwa nimefundishwa kutumia na mwenye nyumba wangu wa zamani kule Mbagala Chamazi...

  Namiss vingi kiukweli... Baadeni..
   
 4. L

  Lady G JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  pole gamba. Kumbuka kutunza hizo dolaree ukija mjini tuzionje. Hivi utamu wake si kama zile za obama lol
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  I love river food....In God We Trust.....
   
 6. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  platozoom wala usijali maana maisha yenyewe ... we acha tu... ukiiona ngozi yangu ni kama ya Mwakyembe kimtindo kama si kiaina kwani inaota sijui ni magamba au ndo evolution .... Ila jitahidini kuniombea ili kulekule majini wanifungie seva ili niwe naripoti kutoka kwenye kina kirefu...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,320
  Likes Received: 2,299
  Trophy Points: 280
  Ungea vizuri na wazee wa kiyao...wana utaalamu wao wa network wa asili
   
 8. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yaani Lady G siku ya kuzitumia hizo dolare haitakuwa bongo tena... Nataka niende nikatanulie huko kwa Thailand... Na kwenyewe si Ulaya au....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Preta poa sana river food lakini si muda wote.... Mi kwa sasa chini ya kwapa kunaota vitu mithili ya mapezi...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  platozoom napokea ushauri wako wa kuwafuata wazee wa Kiyao... maana .. nafikiria kwenda kujitibia ile hospitali ya St Thomas.. Maana akaunti yangu si haba..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. L

  Lady G JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahahaha gamba mie ntakusindikiza, nakuwa bodigadi ka wale makomandoo wa mjomba gadaffi lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. L

  Lady G JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahahahaha pole gamba, ntafunga siku 7 kwa ajili yako. mwanaume hasifiwi uzuri, usihofu khs ngozi, itakuwa pouuuwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  mambo ya Bangkok...nenda mkuu ukale bata za kila aina...
   
 14. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Pole sana Gee Cee na ujitahidi kuja hata mara mojamoja
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  pole mwayego......
  Hebu zikusanye ukirudi 'nikuchune'
   
 16. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  tutumie kambale basi alangau tujifariji
   
 17. L

  Lady G JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  chimunguru potea thana veve
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Nimekumiss sana Gee Cee.

  Ndo ukubwa, mwanamme hasifiwi kwa uzuri bali kutoa hela au kuweka hela.

  Ukija likizo na dolari, nakusubiri pale kijiweni kwangu uje tuzitumie.
   
 19. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkubwa!kwanza hongera na kazi,maana mimi huwa sisemi pole na kazi,.....mkubwa hiyo itakuwa company ya shulmbeger nini?...piga kazi sisi tupo jf,jf na sisi,sisi na ban,ban na invisible.
   
 20. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  aisee usitoke huko make inaelekea matumizi wala matanuzi hakuna .ukitoka huko dollare zimekutuna mifkoni
  utasahau hata hao mamba asee mungu akupe nni ,mi sijaona dola loong time,we unazikamata asee .ni pm ili ukija tuonane
   
Loading...