Ni creation tu ilivyo mkuu. Ulimwengu huu ni complex ili kuonyesha kuwa Mungu ni INFINITE. Hana mwisho. Hakuna kitu ambacho ni cha aina moja. Iwe ni ng'ombe, maboga, kunguru, mahindi, nk ----- lazima utakuta AINA AINA --- ndivyo ilivyo pia kwa lugha. Hicho unachoita msingi, hakiwezi kufanana kwa kila lugha. Wewe umeongelea herufi moja kuwa na matamko tofauti. Lakini pia kwenye Kiingereza kuna tamko moja herufi tofauti. Mfano, tamko /a/ lina herufi tofauti kwenye maneno come, cut, spark, bang nk.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.