Msingi mkuu wa dini ni hofu au imani?

Msingi mkuu wa ni Ukweli usio na mawaa kisha huzalisha Imani, kisha huleta Hofu itokanayo na kuogopa kuvunja amri kuuu na makatazo na adhabu zilizo ahidiwa. Na mwisho huleta matarajio ya Furaha yaliyoahidiwa na Mungu wetu
Well said.. MashaAllah, wengi bado kuwa na hayo...
 
Msingi mkuu wa ni Ukweli usio na mawaa kisha huzalisha Imani, kisha huleta Hofu itokanayo na kuogopa kuvunja amri kuuu na makatazo na adhabu zilizo ahidiwa. Na mwisho huleta matarajio ya Furaha yaliyoahidiwa na Mungu wetu
Ukweli kwa maana ipi?
Na nani anyeumiliki ukweli huo, katika dini zetu ni viongozi ama washirika.., ama vitabu japo kuna maswali mengi pia kama ukweli tutasema ni vitabu je ni quran au biblia au vinginevyo,
 
Msingi mkuu wa ni Ukweli usio na mawaa kisha huzalisha Imani, kisha huleta Hofu itokanayo na kuogopa kuvunja amri kuuu na makatazo na adhabu zilizo ahidiwa. Na mwisho huleta matarajio ya Furaha yaliyoahidiwa na Mungu wetu
tunahitaji kujua ukweli huo bila ya kuacha chembe ya shaka yeyoyote.
Dini nyingi zimekwepa msingi wa ukweli kwa kisingizio cha imani kuamini bila kuhoji ukweli wa imani zetu,
Pengine kurithi imani za wazazi wetu imeonekana ndio kuifuata kweli.
Tunahitaji tuingie katika vyumba vya ndani vya iman zetu kuutafta ukweli uliofichwa ndani ya mioyo yetu ninamashaka makubwa na imani hizi,
ambazo zimejaa mashaka mengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom