Msingi hasa wa mapenzi ni nini? Naomba tusaidiane

Jul 30, 2013
96
36
1593155253542.png

Katika kuongelea suala zima la mapenzi ni vigumu kujua maana halisi ya mapenzi kwa maana halisi ya mapenzi ni kutokana na mtu mwenyewe anavyoona.​

Lakini kwa ujumla mapenzi ni ile hali ambayo watu wawili wanaingia katika mahusiano ambayo yanabeba mambo mengi iliwemo uvumilivu,kuchukuliana katika mambo yote yanayo husu maisha kwa ujumla.

MSINGI HASA WA MAPENZI

1-UVUMILIVU
2-HEKIMA
3-BUSARA
4-UPENDO
5-UWAZI
6-HESHIMA

1-Uvumilivu katika mapenzi ni suala la msingi sana kwani kama nilivyotangulia kusema kuwa mapenzi ni kama safari ambayo ina mambo mengi ikiwemo mateso na mabadiko mbali mbali. kwa hiyo bila uvumilivu ni kazi bure.

2-Hekima ni hali ya kunyenyekea. Ili mapenzi yaweze kuwa mapenzi lazima kuwe na unyenyekevu wa kutosha.

3 Busara ni hali ya kutengeneza uelewano na kuondoa tofauti eitha ya ki maneno au matendo.

4 Upendo ni hali ya kutengenza imani imara na sawia baina yenu wawili.

5 Uwazi ni hali ya kusomana na kufamiana ki myoyo kimwili na kifikra baina ya watu hawa wawili.

6 Heshima nayo pia ni njia kuu ya kuengeneza maelewano sawiya.

Nawatakia siku njema yenye Furaha. Msamehe mpenzi wako bila kujali maumivu.

Mimi namwamini Mungu wa Shadraki, Meshaki na Abednego, Muhimu niwaachie na neno la Mungu liwe taa ya maisha yenu.

Zaburi Sura ya 37 Msitari wa 8, INasema hivi;

Ukomeshe hasira, uache ghadhabu, Usikasirike, mwisho wake ni kutenda mabaya.
 
Mkuu hizi notes ni nzuri
Lakini kwa dunia ya sasa hazitasaidia kitu
Ukiwa na pesa hivo vitu vyote ulivovitaja utavipata.
 
View attachment 1489178

Mkuu umesahau pesa
 
Msingi hasa n "ukweli"

Akisema ana mtoto au alitoa mimba 3 na bado una amani moyoni pasi na shaka kuwa unampenda, ila tuu tena tuuu ujihakiki moyoni kwamba je, huu upungufu hutakuja utumia kama fimbo siku za mbeleni??

Ukweli humweka mtu HURU
 
View attachment 1489178
Katika kuongelea suala zima la mapenzi ni vigumu kujua maana halisi ya mapenzi kwa maana halisi ya mapenzi ni kutokana na mtu mwenyewe anavyoona.​

Lakini kwa ujumla mapenzi ni ile hali ambayo watu wawili wanaingia katika mahusiano ambayo yanabeba mambo mengi iliwemo uvumilivu,kuchukuliana katika mambo yote yanayo husu maisha kwa ujumla.

MSINGI HASA WA MAPENZI

1-UVUMILIVU
2-HEKIMA
3-BUSARA
4-UPENDO
5-UWAZI
6-HESHIMA

1-Uvumilivu katika mapenzi ni suala la msingi sana kwani kama nilivyotangulia kusema kuwa mapenzi ni kama safari ambayo ina mambo mengi ikiwemo mateso na mabadiko mbali mbali. kwa hiyo bila uvumilivu ni kazi bure.

2-Hekima ni hali ya kunyenyekea. Ili mapenzi yaweze kuwa mapenzi lazima kuwe na unyenyekevu wa kutosha.

3 Busara ni hali ya kutengeneza uelewano na kuondoa tofauti eitha ya ki maneno au matendo.

4 Upendo ni hali ya kutengenza imani imara na sawia baina yenu wawili.

5 Uwazi ni hali ya kusomana na kufamiana ki myoyo kimwili na kifikra baina ya watu hawa wawili.

6 Heshima nayo pia ni njia kuu ya kuengeneza maelewano sawiya.

Nawatakia siku njema yenye Furaha. Msamehe mpenzi wako bila kujali maumivu.

Mimi namwamini Mungu wa Shadraki, Meshaki na Abednego, Muhimu niwaachie na neno la Mungu liwe taa ya maisha yenu.

Zaburi Sura ya 37 Msitari wa 8, INasema hivi;

Ukomeshe hasira, uache ghadhabu, Usikasirike, mwisho wake ni kutenda mabaya.
 
Mwanaume asiye na pesa anapendwa na mama yake tu.
C kwl hiyo binafs napenda kubembelezwa pesa kwa nimpendae iwe kawaida t awe na wa kula, kupata vitu muhimu , nikiumwa kunihudumia na sehemu ya kukaa ht kupanga polepole Mambo yatakuwa good, kipaumbele kupendwa na kubembelezwa na kuvumiliwa hvy t
 
Na akl ya maisha maana mtu anaweza kuwa na Ela nyng Lkn akl Hana na pia unaweza pata mwny Ela Ila km hakupend hizo Ela hutazitumia
 
Back
Top Bottom