Msimu wa mwezi 12 kurudi tulipotoka na matukio katika uzi huu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,718
Habarini wana JF .mwaka ndio tumebakiza siku chache tuanze mapumziko na mambo mengine kuelekea mwezi wa 12.

Watu wengi tunatabia tulizojijengea ifikapo mwezi wa 12.

Mwezi wa 12 ni mwezi ambao unakutanisha ndugu waliokaa mda mrefu,shughuli za kijamii,utalii wa ndani,watu kutoka mbali,mapumziko yenye watu wengi,likizo mbali mbali na sikukuu Christmas na mwaka mpya.

Uzi huu utakuwa unatupa marejesho kuhusu mwezi wa 12 na matukio hata habari kuhusu mwezi wa 12
IMG_2566.jpg
 
Back
Top Bottom