Dah akikujibu hili sijui itakuwaje hapaSasa kwanini haupo Mpiji Majohe badala yake unaishi kwa hao mabepari ?
Hahaa mkuu ubepari kama wa bukuku pale sangu na malekela au marehemu yuda
Wewe mwenyewe upo kwa mabepari alafu unakuja kubwabwaja porojo zako.
Huo ujamaa tuliouishi ulitufikisha wapi zaidi ya kuvaa midabwada na kuitwa mhujumu uchumi kwa kuwa una colgate!
TUACHE UNAFIKI NA PROPAGANDA. TUAMBIZANE UKWELI NA TUUISHI UKWELI
Mzee mwenzangu,mie nilijiweka kando,niliona kama huyu mtu haeleweki wala hatendei haki wanaomtendea.Kosa kubwa ni Mbowe kumleta Lowassa na kumuengua Daktari.
Naamini kabisa,kabisa kabisa,huu upande unajiegemeza sababu tu ya makosa ya kimkakati ya upinzani 2015,lakini kiukweli huu si upande wako.
Hoja za bandiko lako naziheshimu kutokana na upande ulipo sasa.
Amejibu ila ni kinyooonge sana kama amekabwa na mfupa kooni.Na amerudia tena kujibu na kuonekana yupo in between.Anaukubali ujamaa ila yupo in deep love na ubepari.Dah akikujibu hili sijui itakuwaje hapa
Maandiko yako siku hizi hayasomeki.Naamini hili ni kosa kubwa; Magufuli anachofanya ni kuulazimisha uchumi umtumikie Mtanzania.. ni kama mtu anaamua kusukuma gari lililokwama kwenye matope.. wakati mwingine anatumia nguvu kubwa sana ya misuli hadi pale litakapokwamuka ndio ashughulikie injini.. na matatizo ya gari lile..
Wakati mwingine hua una point sana.Ubepari ndo unamfanya atunze hela ya nchi kama ya familia yake?
Ubepari ndo unamfanya apigane vita ya uchumi kwa kutumia jeshi badala ya principles?
Ubepari ndo unasababisha asisikilize washauri?