Msimamo was vyama pinzani ni sawa na kukuwadia ubepari uchwara!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,852
13,137
Pamoja na matatizo ya mikataba mibovu kuwahusisha viongizi wa awamu zilizopita, hasa ile ya Mkapa na Kikwete, hata hivyo msimamo wa vyama pinzani unatia shaka.

Ni vyema tumejua sasa kosa la kuelekea uhaini, kwa viongozi waliopita kusaini mikataba kwa maslahi yao binafsi.
Hili sakata la mikataba yenye utata lichukuliwe hatua, kwa msimamo huo, UHAINI.

Kinachotia shaka kubwa niuinzi kushabikia hawa mabepari uchwara kwa nia tu ya ati "kuikomoa " CCM.

Wakati wa vita kama hii ya uchumi, mtu kushabikia adui ichuliwe kama uhaini.

Tusilichekee hili, htu zichukuliwe mapema.
 
Mmeshachanganyikiwa tayari. Ni kama wale watu wenye imani ya ushirikina wamwite Manyaunyau kuja kutoa uchawi halafu ndani ya nyumba yako mwenywe uliyemwita Manyaunyau ndiyo kinakutwa "kipembe" cha uchawi. Tatizo la nchi hii ni CCM na siyo wapinzani.
 
Mirembe ndio mahala kwenye chama chakavu yani hamjawahi kua na akili hata tone,mikataba msign nyinyi leo mnakuja kulalamika kua mmeibiwa,nyambafuu zenu wewe unakua na akili kma ya lusinde au lemutuz
 
Mwl Nyerere aliwahi kusema ktk vita
ya kiuchumi watatokea baadhhi ya watz
wenzetu watakao watetea mabepari
na hawa ni wasaliti wakubwa Sana.
Watz tunaoipenda nchi yetu tuna wajibu wa kuwapuuza hao mabepari.
 
Wewe unaelewa nn unaposema "vyama vya upinzani" ? Km ni vyama vya upinzani acha viendelee kupinga...
 
Kuandika kwenyewe unaandika kama unaharisha 'Kuwahusifa viongizi was awamu zilizopita" ndio nini. Au wewe ni Bashite?
 
Mmeshachanganyikiwa tayari. Ni kama wale watu wenye imani ya ushirikina wamwite Manyaunyau kuja kutoa uchawi halafu ndani ya nyumba yako mwenywe uliyemwita Manyaunyau ndiyo kinakutwa "kipembe" cha uchawi. Tatizo la nchi hii ni CCM na siyo wapinzani.
Wewe ni mjinga waliwao, pengine hujui kuwa iliyotibua sakata la wizi huu ni serikali ya CCM.
 
Kuandika kwenyewe unaandika kama unaharisha 'Kuwahusifa viongizi was awamu zilizopita" ndio nini. Au wewe ni Bashite?
Penye watu wenye akili, changanya na za kwako.
Kama hazipo basi imekula kwako.
 
Back
Top Bottom