Msimamo wa Simba uliyotolewa leo kuhusu point 3 dhidi ya Kagera Sugar

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410


Siku moja baada ya kamati ya haki na hadhi za wachezaji kukaa kikao na kujadili mambo mbalimbali ikiwemo suala la Simba kupewa point tatu dhidi ya Kagera Sugar kwa madai ya kumchezesha mchezaji Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu za njano, leo Simba wametoa msimamo wao juu ya suala hilo.

Simba kupitia kwa afisa habari wao Haji Manara wametoa msimamo wao kuhusiana na suala hilo baada ya kuona kamati ya haki za hadhi za wachezaji inapindisha mambo ikiwemo taratibu kwa mujibu wa Haji Manara, kucheleweshwa kutolewa maamuzi kumezidi kuzua hofu kwa mashabiki wa soka.

Chanzo: Millard Ayo
 
Duuh! Hizi nguvu na misuli ya kichwa ingetumika Kaitaba, saa hizi Yanga angekuwa na kesi ya kujibu.
IMG_20170419_172753.jpg
 
Hivi Hawa mikia wameo nye seeha video ya af lion wakati huyo mchezaji akipewa kadi? Kama jibu ni ndiyo basi Wana kila sababu ya kudai hizo pointi 3. Kama jibu ni hapana kwanza wapigwe faini kwa usumbufu
Inaelekea unapenda mkia sana geuka upewe mkia
 
Hu mkutano ni wangu kama ww hauwezi kusikiliza na una mambo yako ondoka!!! In manara's voice
 
Back
Top Bottom