msimamo wa serikali ya TZ kuhusiana na Mgogoro Ivory Coast | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msimamo wa serikali ya TZ kuhusiana na Mgogoro Ivory Coast

Discussion in 'International Forum' started by Ngambo Ngali, Dec 18, 2010.

 1. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,163
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Jumuiya ya kimataifa imekuwa ikilaani vitendo vya Rais Gbagbo kukataa kuachia madaraka na kukabidhi madaraka huko Ivory Coast.

  Nini msimamo wa serikali ya Tanzania kwenye suala hili? Serikali haijatoa tamko mpaka leo, jee, ina maana inakubaliana na vitendo vilivyofanywa na rais Gbabgo.
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 84,458
  Likes Received: 56,914
  Trophy Points: 280
  Msimamo wetu ni uleule wa AU......hatuna mwingine nao ni............Gbagbo ampishe mwenzie....ingawaje hatuna moral authority on that..............sisi wenyewe JK alipigwa mweleka mkali na Dr. Slaa na sasa hivi kawa kingang'anizi madarakani kama Gbagbo...........
   
 3. R

  Rafikikabisa JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi tuna ushahidi na hili na kama tunao kwa nini tusiishitaki tume ya uchaguzi katika mahakama za kimataifa au nako sheria hazituruhusu?


  Tunaendaje kwenye chaguzi ambazo sheria zinabana kila mahali kama si kujitafutia matatizo?

  Je Ivory Coast sheria zao ni kama za wabongo?, Mbona wao kuna sura tofauti na Tanzania?
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 145
  sisi nimbayuwayu mkuu... tunasubiri AU waseme basi tutakua huko
   
 5. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,163
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kuna kitu gani cha kusema mbona kila kitu ni wazi sana, mahakama bila kuombwa imebatilisha uamuzi wa tume na kubatilisha matokeo ya uchaguzi na kutangaza mgombea wao.

  Jana AU wanatangaza kuwa katibu mkuu naenda kusuluhisha, kuna nini cha kusuluhisha huko, issue ni wazi gbagbo ni mwizi aondoke hakuna kumung'unya maneno.

  Double standards, kwa nini Rais asipeleke jeshi kumuondoa gbagbo kama alivyofanya comoro???
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  do you expect anything white from the charcoal?
   
 7. L

  Leornado JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Yes, majivu....
   
Loading...